Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Roho zao zinatamani sana ila ulimi inakataa. Hiyo mandhari tulivu ya Kitisuru unawezalinganisha na mtaa wao wa "kifahari" Masaki iliyojaa apartments kweli?
Wewe kwani ni mgeni humu? Je nirudie kukuonesha ma slums ya kitusuru? Sema suuu.
 
Umeishi slum hadi kila wakati unaota slums tu, slum mentality
Sema suuu nikuoneshe slums za kitusuru, wewe mgeni humu, Kenya hakuna county ikakosa slums kama unabisha sema nikuoneshe ma slums ya kitusuru.
 
Bigger by render😅😅😅😅 mukiambiwa nyinyi ni machizi munakua wakali




Jubilee ndio iliwadanganya kua ni internal fund😅😅😅😅😅

View: https://twitter.com/NationAfrica/status/482105998648172544?t=aEs5cMdUExSt_5Vgm5YiPA&s=19
 
That’s why nobody takes you seriously Bongolala…first Kasarani ni 60k capacity… ya pili why bring up slums?… have you been to Mkapa stadium?… Another symptom of blind patriotism…🤣🤣View attachment 2766274
Sasa we umeona slums hapo? Uwanja umezungukwa na BRT left, right and center pamoja organised streets utalinganisha na huo upuuzi? Mbuzi kweli wewe……!!
 
Kenya mara mbili walishashindwa now they have decided to ride on the elephant, siku watashangaa the elephant will be ridding on them😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…