ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,348
- 89,767
Wakenya hamna akili.View attachment 2764866
Hua sipendi watu wakuropokwa.
Hivi pale wanaongeza runway ama?Airport Expansion is underway
View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1707310685263122649?t=IMHM_M0ptCUwEWB4fqbe2g&s=19
Kuna hotel 5 star wanataka kujenga nafkiriHivi pale wanaongeza runway ama?
Ngoja wajuzi waje kukupa muongozoHivi pale wanaongeza runway ama?
Hata ujenzi wa hizi nyumba mnauiga Tanzania, ninyi ujenzi wenu ni huu ambao tofali zinaachwa hovyo, madirisha madogo au hamna kabisa na nyumba na roofing ni fupi kama akili zenu
View attachment 2764672
View attachment 2764671
Mbona mnasumbuka mibongolalala?Hamna kitu wewe Mpumbavu, hamna mazingira kama hayo Kunyaland hiyo miti wala hiyo architecture haipo Kunyaland wala those buildings materials and equipments hata morphology ya hao watu doesn't look like you idiots
Nafurahi hii haya mashindano yatatukuta tuko vizuri sana kimiundombinu, viwanja vya ndege standards, SGR, mabarabara n.k. Watu watakuja toka kila kona ya Afrika na dunia kuangalia soccer na kushangaa mambo mengine mengi tu. Na ndipo hapo dunia itaijua Tanzania vilivyo. Yajayo yanafurahisha.Eti watu waache kuweka fainali Dar kwenye mvuto wa soka wapeleke Nairobi, kwanza mpaka kufika 2027 our mighty SGR itakuwa inafanya kazi na BRT phase karibu zote zitakuwa tayari, viwanja vyote vitakuwa tayari, haya apo kuna nn tena, miundombinu yote muhimu na ambayo haikuwepo kwenye nchi nyingi tu zilizowahi kuandaa AFCON itakuwa ishakamilika.
Jamaa huenda wakalilia fainali ipelekwe kwao kisa wana expressway π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hii fainali ndiyo itatupa jibu nani ni The best hapa EAπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Yani hawa nyani wako na deficit ya s wakati sisi huku kwetu that's a foreign word. Na ukisikia Ile kelele wanapiga hapa ndani!Miezi sita bila stima dar slumView attachment 2764724
Barabara gani mko nazo? Ama unamaanisha hizo brt that snake their way through uswazi hovels?ππNafurahi hii haya mashindano yatatukuta tuko vizuri sana kimiundombinu, viwanja vya ndege standards, SGR, mabarabara n.k. Watu watakuja toka kila kona ya Afrika na dunia kuangalia soccer na kushangaa mambo mengine mengi tu. Na ndipo hapo dunia itaijua Tanzania vilivyo. Yajayo yanafurahisha.
Last time I checked, there's a village in Tanzania called Mbeya being referred to as a city. A "city" that saw its first lift in 2014 when Eldoret already had a 27-floor buildingKama Kijiji Cha Eldoret ni City basi Municipal Towns zote za Tanzania zile elevated to City Status.
Hichi Kijiji hata Iringa imekishinda achilia mbali Morogoro na zote sio Cities.
View attachment 2764806
Huna akili, tunaongelea AFCON ya 2027 itakuwa mwaka wenu wa uchaguzi, je kwa uchumi huo wa hovyo mtakuwa na uwezo wa ku fund uchaguzi na huku mkijenga viwanja? Ikiwa hiki kilichopo cha tangu uhuru wa nchi hata kukikarabati mmeshindwa .
Pia, msisahau kwamba uchaguzi ujao Ruto atatakiwa kutumia pesa nyingi sana ili kuwalaghai nyie vichwa panzi mumchague tena.
Kiukweli kabisa sioni nafasi ya nyie ku host hata mechi moja ya CAF.
Brt inayoleta jam kwa barabara zingineBarabara gani mko nazo? Ama unamaanisha hizo brt that snake their way through uswazi hovels?ππ
TumekuelewaMimi sina akili.
2017 pia corona ilikuweko, pumbavuso unataka kujitia uchizi kutojua sababu ya Afcon kuchezwa January? idiot corona messed up the timetable!