Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We pimbi Kweli we jamaa. Unataja hicho kinyayo estate kama estate kubwa zaidi Africa.? 🀣🀣 Kina host inhabitants 30k tu na ni old fashioned buildings zote.? wala usiende huko Egypt, SA wala Morocco .. huko si Africa kabisa, mana hao jamΓ a wanaeza shindana face to face na mataifa ya Ulaya... kilamba Angola Iko na gorofa 750 zenye floors Kati ya 5-13. Schools 24 . Retail stores 100.. it was designed to host 200k inhabitants. Pita hapa πŸ‘‡"Quilamba - Wikipedia" Quilamba - Wikipedia. The best 007 njoo uone nnavyomvuta kende huyu kiazi.. πŸ‘‡na hizi estate kubwa huku luanda zipo kama tano hiv au zaidi.. na hakuna hata estate moja within NAIROBI inaweza kaa kwenye sentence moja na estates za Luanda. Ukibisha twende ground
 
Hizo nyumba ziko empty 60% of those apartments are unoccupied. They are too expensive for Angola citizens to afford, wanaishi vijijini. Nyayo Estate is 100% occupied
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…