Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Kazi nzuri, truly empressed on how you keep your history to next generations, our children and grandchildren need to know what happened before them, and this not only on history books but through museums like these.KDF are no joke like politicians. What they did to Uhuru Gardens:
View: https://www.youtube.com/watch?v=Oid_p_q1JUc&t=428s&pp=ygUNdWh1cnUgZ2FyZGVucw%3D%3D
Typical Kenyan putting the cart before the donkey. Hii ilitakiwa iwe demand driven sio ku force vitu kienyeji
Umesahau viwanja vyenu watu wananyeshewe na kupigwa na jua !!!!Viwanja vyenu vimekaa ki Africa Africa na mashabiki kwa ujumla wamekaa ki Africa Africa, situkani u Africa ila inafaamika jinsi waafrika wengi walivyokosa ustaarabu, hapo mtu akifungwa mara wang'oe viti mara warushiane mikojo. Hata mkao wao jinsi walivyokaa hovyo hovyo, mashabiki hata jezi za timu zao hawana, wachache tu ndio wana jezi na kati ya hao wachache wengi wao wana jezi za timu za ulaya ambazo wananunua kwa bei rahisi kwenye mitumba.
Sisi tushatoka huko, angalia mechi za ligi ya Tanzania mashabiki wamekaa kimpangilio, alafu viwanja vyenu havina taa, hivyo basi mechi zote zinalazimika kuchezwa mchana hata siku za kazi, hiyo inapelekea kukosa mashabiki wengi japo ukosefu wa pesa kwa wakenya wengi huenda ikawa ndio sababu kubwa.
Angalia hapa chini mashabiki wa Tanzania na viwanja vyetu vilivyo vizuri mpaka vina LED yani matangazo yanatembea tu, hivi vitu huko kwenu ni ndoto ya alinacha.View attachment 2756795View attachment 2756797View attachment 2756798
Do you really understand how the economy works?β¦. With high inflation,people cut their budget on issues like travelβ¦. Hotels loose business in certain economic situations even in developed world. The problem is every Tom and Jack is a keyboard warrior and you post opinions like factsβ¦ Kenya still has the largest middle class in the region whether you like it or not but maybe their travel priorities are down. As the economy pulls up so will domestic tourism pick upβ¦. Why donβt you check previous statistics, unlike you LDC we donβt rely on Foreigners onlyβ¦. If you check your Serengeti hotels, they are full of wazungu but go to Maasai Mara β¦. Last time I was there, half of the guests at my hotel were localsβ¦..I was surprisedβ¦. Kenyans travelβ¦. While your President is doing Royal tour to kiss up to wazungu , we do Tembea Kenya initiative aimed at wowing our strong middle classβ¦ Kenya competes with Dubai for Kenyans if you know what that means..Typical Kenyan putting the cart before the donkey. Hii ilitakiwa iwe demand driven sio ku force vitu kienyeji
π π π
Technically Lake Malawi is also part of Tanzania!
Hii ndio mega??π π π π πA mega mall coming up at Upper Hill
View attachment 2757155
View attachment 2757156
View attachment 2757157
Hizi ndio mnajenga sahizi? Dar iko na mall moja tu. We have Two Rivers, BBS Mall, Garden City, Sarit Centre, Westgate, Thika Road Mall, Village Market, Signature Mall, Juja City Mall. All these are bigger than that nonsense you are buildingHii ndio mega??π π π π π
Na hii mutaitaje ππππ
View: https://youtu.be/_sftIR4GWJs?si=UH38o_ZPIC2BIOqx
Jengeni tuu ili tuwauzie cement, tiles, glass cladding, umeme, gas etc. Nyie mtapata PAYE tuu π€£π€£π€£Another UN Headquarter Office to be set up at Nairobi
View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1704676654025433278?s=20
Duh hili nginjanginja limefanana na la Bangladesh π
Mpaka chakula na mafuta on credit deni litaacha kupanda na kuwa unbearable?Huyu sasa ndio anawauza,siku yeyote mtapigwa mnada π€£π€£
View: https://www.instagram.com/p/CxcuoeaIuan/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Mtuuzie umeme? Hatutaki, tunayo ya kutosha πππ. More than half your population is in darkness na unaongea mavi hapaJengeni tuu ili tuwauzie cement, tiles, glass cladding, umeme, gas etc. Nyie mtapata PAYE tuu π€£π€£π€£
Malizeni na power rationing kwanza alafu muanze kufikiria kuuza nje. Nadhani hio ni bora kuliko kufikiria kuuzia watu ilhali nyinyi mpo gizani πππ. Wacha nitafute ile tangazo ya TANESCO wakisema wanafanya rationingJengeni tuu ili tuwauzie cement, tiles, glass cladding, umeme, gas etc. Nyie mtapata PAYE tuu π€£π€£π€£