Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rekebisha kwanza hiyo picha, CEO wa ABSA Tanzania ni Tanzanian anaitwa Obedi Laiser.

 
Mwenyekiti eti wanataka tena battle ya barabra za mitaa wakati tulibinya kende wakalia mpaka ukasema basi tuwasamehe…….😂😂😂
Jamani hawa kwa sasa wamechanganyikiwa nendeni nao taratibu walichoamabiwa na wanasiasa wao sio wanayoyaona sasa hvi wamekaa kama mbwa aliokosea njia 😅😅😅😅
 
Jamani hawa kwa sasa wamechanganyikiwa nendeni nao taratibu waliomabiwa na wanasiasa wao sio wanayoyaona sasa hvi wamekaa kama mbwa aliokosea njoa 😅😅😅😅
Sawa Mwenyekiti, asante kwa hekima zako ama sivyo tutabaki wenyewe humu ama la tutasababisha vifo vya ghafla vya pressure ama kujinyonga😂😂😂
 
Sasa wewe jinga la ushago, unabishana na katiba yetu inayotamka wazi wazi kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa? Siwezi kuendelea ku argue na chizi kama wewe.
 
Sasa wewe jinga la ushago, unabishana na katiba yetu inayotamka wazi wazi kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa? Siwezi kuendelea ku argue na chizi kama wewe.
You were arguing like a fool throwing around anecdotes and sycophantic clichés and incoherent senseless statements and now you realize I have the facts you're looking for an escape route. 🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…