So kama ilianza 2020 december subiri ikamilike alaf useme we have 84km of dual carriageway usituambie mambo na 140km ambazo ziko juu ya hewaWewe ni zuzu kweli. Construction ya hio barabara (84km stretch) ilianza December 2020 and expected to be fully completed by December this year. Tulikuwa na handing over of government which led to delay of many projects, sasa hivi kama ingekuwa previous government ingekuwa ilimalizwa kitambo. Alafu hio 140km ni Nairobi - Kenol - Marua. Nairobi to Kenol (50km Thika Super Highway) was already existing, ile iko under construction ni 84km Kenol - Marua. Ukiongeza interchanges na access roads inakuja hiyo 140km. Imagine we will be driving 140km without meeting oncoming traffic 😂. Can never happen in Tanzania.
Tones 55 ni sawa na lori 1 tu, Tanzania ukienda Mwanza soko la Mwaloni kila siku si chini ya semi trucks 50 zinaondoka na dagaa kwenda Rwanda, Zambia, DRC, Kenya, Burundi etc ni nyingi na bado samaki hapo.Tungekuwa Wabongo tubgesema tulailisha China. Watz wengi vichaa
View attachment 2746165
Mmechelewa sanaKuna campaign in Kenya #JengaUshago. Watu wameamua kujenga kwenye village zao.
View attachment 2746171
Am shocked that you are even proud of Kenyans working in your country taking over high paying jobs yet you have many unemployed youths tarmacking in Dar and elsewhere……this shows your big employers are craving for Kenyan talent… we take your good paying jobs…. In Kenya you take our menial jobs like farm work and watchmen…. That’s a true characteristic of an LDC…. 🤣🤣🤣Africa source au sio, kama ni rahisi mbn nyie mmeshindwa kuzalisha hiyo remittance from Africa source? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Such scenes can be found anywhere…. Poverty is a curse to humanity…. But it doesn’t mean there are no people living well and comfortable in Kenya coz they are plenty… the largest middle class in East and Central Africa….ama unapinga???Hii ndio nchi wakika kwenye mitandao wanawadanganya watu wako level za europe😅
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1701528973707026532?t=kwcWtzyeQtP-ryA-uPRr3w&s=19
"Tunatumia chakula kingi kutoka Tanzania"Amesema continue selling us food 🤣. Nyie endeleeni kutuuzia mahindi, we have better things to do than planting maize.
Kwa hiyo?
Hapo lami ipo stadium tuHomaBay ina lami kuzidi Mbezi
View attachment 2746173View attachment 2746173View attachment 2746175View attachment 2746174
mambus ya Ukunyani!
The modern world is moving away from fossil fuels… renewable energy is the future… am glad Kenya is the Africa leader in that regard. Even the first world countries have initiated the change… UAE and rest of the Middle East have diversified their economy… check out what’s the top foreign exchange earner for Dubai…. Hint.. it’s not Oil nomore…. Please Bongolalas read the sign of times… the word is changing fast .. free word of advice..stop being stuck in the past or forever you shall remain an LDC…🤣🤣🤣🤣A stunning view of Chongoleani from Raskazone Tanga, terminal ya Ecoap pipeline inaanza take a shape