Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimekupata 😀😀
 
December utakuwa umefunga chuo au utatoroka masomo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hata nikatoroka sio shida kwani hela ninazo za kunitosha mpaka nife...baridi ikizidi inabidi tuje Dar kwenye joto jingi tushugulikie waresh wenu
 
hata nikatoroka sio shida kwani hela ninazo za kunitosha mpaka nife...baridi ikizidi inabidi tuje Dar kwenye joto jingi tujibambe
Haya toroka uje, ila kumwambia mwanaume mwenzio habar za baridi kuzidi sio deal huku bongo.

Makonda atakutia ndani maana unaweza kuwa na tabia za kimombasa!
 
Lol..kumbe unasikia...nilidhani unaushahidi....kuhusu simba shoga ushahidi upo...nikuwekee?..[emoji23] [emoji23]
can we lenga this shoga story...it is getting weird...wawekee wengine ila usiniquote mie
 
can we lenga this shoga story...it is getting weird...wawekee wengine ila usiniquote mie
sawa sirudii tena boss.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Haya toroka uje, ila kumwambia mwanaume mwenzio habar za baridi kuzidi sio deal huku bongo.

Makonda atakutia ndani maana unaweza kuwa na tabia za kimombasa!
nadhani nilieleweka...mimi ninapenda sana madem...hata natamani nimkute Zuwenna December tutembee...tabia za kiseng.e sipendi....
 
sawa sirudii tena boss.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
ila ukitamani sana kutazama hio video usijali bro tafuta sabuni tu na uendelee na kazi ndugu yangu... umeinsist sana kwa hio mambo licha ya mimi kulenga hio story...vipi nikukatie tiketi kwenda Mombasa?
 
hahaha.......wanaitwa waras
 
Ruto zii brathee, that guy Noo, but thats a discussion for another time
 
si useme tu kwamba wewe ni mkikuyu/mkalenjin.[emoji23]

BTW nilisikia kwamba there is a secret MOU between the two tribes that after uhuru,the next president "must be chosen" from kalenjin...probably ruto.
Nimeskia pia habari za chini ya carpet ni kuwa Wakikuyu wanapanga kumpiga chini Ruto 2022 na kusimamisha mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…