Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😅😅😅😅 wanahangaika na stop EACOP yani wanaumia kisawasawa hawa mbwa manake sijaona tanzania au uganda wanaadamana sijui stop EACOP lakini ajabu ya dunia hii jirani ndio anahangaika na akijua kua hakuna athari yoyote wataipata ila kwasababu mchina kachukua ufadhili wa kuendeleza kwa EACOP sasa wanatapa tapa


View: https://twitter.com/stopEACOP/status/1699094900636102818?t=czxxCzcvGBkm8VS2_Qv9rQ&s=19


Na walivokua mafala mradi unaendelea na hautasimama kamwe labda sisi sio watanzania 😅😅😅😅😅


View: https://twitter.com/millardayo/status/1695114081370284093?t=RVtk6L9aQtp9Zvicz-8OQQ&s=19
 
Duuhh hayo majengo sasa, yanaonekana kabisa ni jua kali kabla hata hayajaisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata mzazi wako akifanya fyongo hutakubaliana naye kwa sababu tu ni mzaizi wako. Sasa ukiona mtu ambaye yeye anamshabikia mtu mwingine hata pale huyo mtu anayeshabikiwa anapofanya mambo ya hovyo ujue huyo mshabiki bolts kichwani mwake zimelegea!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…