Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana kipindupindu hakiishi huko kunyaland.
 
Mombasa inakosaje maji na mito yote inayotiririsha maji baharini? Wameshindwa kutengeneza dams za kukinga maji na kusafisha? Kweli wakundustan wamenyimwa akili wakapewa njaa πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanaacha maji yote fresh yanaingia kwenye chumvi πŸ˜‚ , Kwa kuwa wao ni advanced nation watafanya desalination ili kuyapump tena for use in Homes and other areas. Hii yote inawezekana maana ni Scandinavian country iliyopo huku kimakosa. TOPESTAN πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wakifanya hivyo week 1 nchi yote inapigwa mnada na mejembe auction mart, gharama ya desalination tu itawafanya wauze Lita 1 kwa million 2

Ni nchi kama UAE, Kuwait, Qatar ndio wanamudu hizo shows 🀣 hawa waendelee kunywa mchuzi wa vinyesi tu sababu maji ya bei rahisi tu kuchimba futi 3 ardhini nusu kaburi kumewashinda 🀣

Desalination plant Kuwait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…