REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,676
- 11,694
Hayo nilisema jana usiku na leo umeona baraza la mawaziri?We Mzee since day one umembinyia mama Mapu***, project nzuri kabisa people centered nayo unatoa nyongo tena katikati ya battle. Namna gani hii kaka? It will take so much for your bad wishes to come true.
I repeat Arusha city does not share a border with Kunyaland!Who said that?!Unawashwa matako nini?!
Something wrong with the messenger… not openingTuko vizuri
Azam kiboko 🤣🤣🤣 watakuja utawaskia sisi nyeee nyeee nyeeeeee
Safi sana. Mim nimefurah na nimeipenda. Ingekuwa Geita kipindi kile.. watu wangelalamika kwann Geita, as if Geita iko kenya
Africa tunachoweza Nina matumizi mabaya ya fedha innovation ni Zero kabisa
Mita 100,000 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣By far,2023 3 different world records.
Plus more than 150m ndani ya bank na bado mwaka haijaisha
Haya mambo peleka jukwaa la siasa, humu tumo kuwanyuka Wakenya usitupotezee focus. Kila nchi ina issues zake, huwezi kuona wenzetu wanaanika their dirty laundry jukwaa hili. Watu kama nyie vitani hupigwa risasi za kichwa.Hayo nilisema jana usiku na leo umeona baraza la mawaziri?
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1696839148898853082?s=20
Umesema vyema na ndio ulitakiwa useme hivi mwanzoni sio kutetea ujinga wa SSH.Haya mambo peleka jukwaa la siasa, humu tumo kuwanyuka Wakenya usitupotezee focus. Kila nchi ina issues zake, huwezi kuona wenzetu wanaanika their dirty laundry jukwaa hili. Watu kama nyie vitani hupigwa risasi za kichwa.
Yani wewe na akili zako zote unaambiwa ufala kama huu na unakubali tu kisa blind partriotism? 🤣 🤣Wazee wa location KDF mpo 🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/Cwk5OXbMypR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Jamaa hatujawahi kuona hata siku moja wame order ndege mpya, madege yao yote ya ku lease afu nzee.
Hakuna swala la blind patriotism kwenye hili. Haya ni mambo ya ukweli na yenye ushahidi wa kila aina ambao bado unaendelea kuishi.Yani wewe na akili zako zote unaambiwa ufala kama huu na unakubali tu kisa blind partriotism? 🤣 🤣
Eti Tanzania sasa imeshindwa na nchi tano pekee duniani? 🤣🤣 Wee ni mgonjwa.
17 loan aircraftsJamaa hatujawahi kuona hata siku moja wame order ndege mpya, madege yao yote ya ku lease afu nzee.