Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Ajabu kweli, π€£π€£π€£ jamaa anakimbilia kushindanisha shule eti π€£π€£π€£ na malls π€£π€£π€£. Kashimdwa kwenye makazi ya watu anatafuta pakutokea. π€£π€£π€£ Hanipati uko, najua huo ni mtegoMasaki imemtoa kamasi kakimbilia shule sasa π π π π π π π yani hua halali akiwaza tanzania hiii yani inawanyima raha kabisa
Huyo ni kawaida yake ndio maana anaitwa zwazwa akishindwa hoja hua anajaribu kutafuta njia yakuchomoka na hii vita ya masaki amekua akilia nayo over 4 yrs hapaπ€£π€£ na let me tell u hakuna posh area inawaumiza vichwa kama masaki mark my wordsAjabu kweli, π€£π€£π€£ jamaa anakimbilia kushindanisha shule eti π€£π€£π€£ na malls π€£π€£π€£. Kashimdwa kwenye makazi ya watu anatafuta pakutokea. π€£π€£π€£ Hanipati uko, najua huo ni mtego
eti under construction, wapi? onyesha nione π π π π π π π π π yaani na zoom every place.., kule juu, upande wa kuelekea Oyster Bay.., kati kati.., wewe wacha janja janja, onesha sehemu kuna construction ni zoom sasa hivi..., google earth kiboko ya waongo na mwehu kama wewe..,, nimekubana kabisaππππππππππCan't you see Kati ya mitaa yote nimepost umeweza kuona vipande vitatu tu vya rough roads .? π€£π€£π€£ Ambavyo tena ni under construction.? Masaki is something else.. Karen ni mbezi beach iliyochangamka
Nakuonyesha kila kitu. Kwa makazi nitafika tu. Nacompare kila kitu Karen na Masaki nikuonyeshe kwa nini hizi estate mbili zipo Dunia mbili tofauti. Nimeanzana na size maanake mmekuwa mkipiga kelele ooh Masaki Ni kubwa. Nimewaonyesha Karen Ni Mara 14 kubwa kuliko Masaki. Msiwe na uoga. Kwa makazi nitafika tu. Najua Masaki inatesa hapo Dar, si unajua Manyunyu ni mafuriko kwa siafu. Hiyo Masaki ukiileta Nairobi hata top 20 haiguzi. Usiwe muoga bradhee.π€£Ajabu kweli, π€£π€£π€£ jamaa anakimbilia kushindanisha shule eti π€£π€£π€£ na malls π€£π€£π€£. Kashimdwa kwenye makazi ya watu anatafuta pakutokea. π€£π€£π€£ Hanipati uko, najua huo ni mtego
Hata yule mpayukaji ichoboy amekimya baada ya kumuekea facts πNakuonyesha kila kitu. Kwa makazi nitafika tu. Nacompare kila kitu Karen na Masaki nikuonyeshe kwa nini hizi estate mbili zipo Dunia mbili tofauti. Nimeanzana na size maanake mmekuwa mkipiga kelele ooh Masaki Ni kubwa. Nimewaonyesha Karen Ni Mara 14 kubwa kuliko Masaki. Msiwe na uoga. Kwa makazi nitafika tu. Najua Masaki inatesa hapo Dar, si unajua Manyunyu ni mafuriko kwa siafu. Hiyo Masaki ukiileta Nairobi hata top 20 haiguzi. Usiwe muoga bradhee.π€£
Huyo huwa sipingani naye, yani ni wale watu ubishi Ni hobby Yao na Ni ile ubishi umbwakni. Yee hubisha kama mtu hana akili. Mwarabu duncey sana huyo. I'd rather debate a fly.π€£Hata yule mpayukaji ichoboy amekimya baada ya kumuekea facts π
Facts gani katoa ??π€£π€£π€£π€£ hebu mwambie arudie facts gani kabanwa na masaki kaanza kukimbilia shule na mall na mm nilijua baada ya kibano ni shule na mallHata yule mpayukaji ichoboy amekimya baada ya kumuekea facts π
Nyenyenye karen hakuna vumbi labda vumbi la congo ndio hakuna ila matope ya nairobi yapo mpaka kwenye mashimo ya maji safi π π π π π π kwa maneno yenu yakujisifia tulitegemea muwe level za norway hvi lakini wapiii zimbabwe iko ahead of uHata yule mpayukaji ichoboy amekimya baada ya kumuekea facts π
Hvi hii nilikuonesha au??π€£π€£π€£π€£π€£Hata yule mpayukaji ichoboy amekimya baada ya kumuekea facts π