Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila kila mtu neutral anasema Nairobi is miles away kushinda dar. Hii yenu ni blind patriotism
 
Kuna sehemu yoyote Dar unaweza linganisha na kibera?

Hiyo mtu kufika nairobi na kukaa kwenye conference hall moja na kurudi airport ndio atasema amefanya exploration ya mjini na viunga yake?
Kwaivo dar sehemu inayoweza kulinganishwa nayo Nairobi ni kibera?
 
Kuna sehemu yoyote Dar unaweza linganisha na kibera?

Hiyo mtu kufika nairobi na kukaa kwenye conference hall moja na kurudi airport ndio atasema amefanya exploration ya mjini na viunga yake?
Hivi hapo Dar hakuna conference hall moja yenye mtu anaweza kaa na akarudi airport alafu aseme Dar ni pazuri kuliko Nairobi? It's even more interesting kwa sababu hata hizo conference halls na Airports mnasema mnazo nzuri kuliko Nairobi. 🤣
 
Hivi hapo Dar hakuna conference hall moja yenye mtu anaweza kaa na akarudi airport alafu aseme Dar ni pazuri kuliko Nairobi? It's even more interesting kwa sababu hata hizo conference halls na Airports mnasema mnazo nzuri kuliko Nairobi. [emoji1787]
Eti Nairobi wanakaa kwa mahoteli na dar wanaizunguka yote ndo maana manaprefer Nairobi over dar [emoji23]. Ushawahi sikia ujinga kiasi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…