Hilo wanajua, huwa wanajitoa ufahamu ama kujitia hamnazo tu, Dar ni hovyo sana.., CBD ndogo sana, imejazwa na apartments za waarabu na wahindi, wenzetu weusi wakikomaa uswahilini (uswazi villages in Dar).., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂CCM semantics.
By Kenyan definition, almost all of Dar would be considered a slum.
Yanajikokota.., wanangoja SGR tokea wakati wa Magufuli, 2023 inaelekea kuisha!😂😂😂😂.., miradi mengine yanakwenda kwa mwendo wa konokono, tatizo serikali kukosa hela 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Yes i sawa tarmac road 😅😅😅 mpaka magorofa ya matope nimeyaonaEven the slums are tarmacked in Kisumu
View: https://www.youtube.com/watch?v=u8CuJK2AQkk
View: https://www.youtube.com/watch?v=pYXv6s2bCkY
View: https://www.youtube.com/watch?v=ZP2hlZ0hFLs
Kuishi kwa jengo la ghorofa Tanzania ni wahindi, wazungu na waarabu ndio wako na huo uwezo.., makapuku wengine ni uswazi.., uwezi fananisha Lolwe na uswazi zenu.., taifa fukara kweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Yes i sawa tarmac road 😅😅😅 mpaka magorofa ya matope nimeyaona
View attachment 2726400
View attachment 2726401View attachment 2726402
😂 😂 😂 Some of these you're handpicking are private access roads.Yes i sawa tarmac road 😅😅😅 mpaka magorofa ya matope nimeyaona
View attachment 2726400
View attachment 2726401View attachment 2726402
Yaani kama tu Mwanza nje ya CBD hakuna mtaa kama Lolwe ndio utaje vijiji mnazo zitaja eti ni city.., uendazimu sio ugonjwa ni laana walai 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ..,Kisumu hata ukisimamisha iringa haitoboi achilia mbali morogoro 🤣🤣🤣🤣
Hajakuelewa huyu, andika kwa kiswahili, na kama ameelewa atajitoa ufahamu wazi wazi., mwehu kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, leo kazi ya Dodoma tumeimaliza..., hamna kitu, ni ka town tu, haijafika kuitwa city😂😂😂😂😂😂😂 😂 😂 Some of these you're handpicking are private access roads.
The government tarmacs public roads. They are not 100%, but our estate tarmac network is at least 20 years ahead of TZ.
Jikaze kaka, Lolwe pia ilianza hivi, mtafika..,another project in dodoma
View attachment 2726333
Hajakuelewa huyu, andika kwa kiswahili, na kama ameelewa atajitoa ufahamu wazi wazi., mwehu kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, leo kazi ya Dodoma tumeimaliza..., hamna kitu, ni ka town tu, haijafika kuitwa city😂😂😂😂😂😂
Kwani eastlands nani wanaishi? waarabu na wahindi? ama wazungu?.., boss mko hovyo...,🤣🤣🤣🤣🤣🤣 issue sio kua nazo tu je zinamilikiwa na nani?? Manake kila mtu anajua middle class wa kenya ni yule mwenye uwezo wa ku rent bedsitter au 2bed room
We ni chizi unacompare full year na half yearTanzania haiwezi kufanana na hunger striken failed state😆😆
Compare & Contrast Tourist arrivals by the end of June 2023.
Tanzania
View attachment 2726044
Kunyaland View attachment 2726047
Hivi ni kiingereza huelewi ama huna bundle? Hajaiponda Kenya, infact ameisifu. 🤣
View: https://youtube.com/shorts/NKrQJmjtp-Q?feature=sharehuyu AA ndio kunyan umuweka hapa akiiponda TZ,mwanzoni wakati wanakuja TZ hawa AA nilipenda sana waje kwa wingi na niliilaumu serikali kwa sheria ngumu walizowawekea ila kadri siku zilivyokua zinaenda na nilivyokua nawaona tabia zao nikajisemea serikali iko sahihi,angalia aliwachana kunyan
Kizungu tu ndio inakuwanga balaa kwenu.Battle za Waafrika Mitandaoni, ila Waafrika tuna vijimambo sana, hivi na races zingine nazo zina battle kama sisi? Inaonekana Mnigeria huwa ana battle na kila mtu kasoro wabongo tu….😅😅
View attachment 2726445