kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,413
hebu tuoneshe ulivohesabu tuone, ila unaumia sana π€£π€£π€£
Umegonga ndipo, ufukara wa Tanzania haufichiki, ata kwa google earth, uswazi ndio mingi zaidi upande wa majengo, like 70 to 85% ukiangalia kutoka juu π π π π π π π π π πMzungu kuja Kenya na kuona slum ni kumaanisha alikuwa amekuja 'slum tourism'.
Slums cover less than 1% of Nairobi land. You'll need to work hard to see one.
Dar all you need is turn your head one way, and booom. Slum
dodoma kwa projects tu utachoka wewe
View attachment 2726343
View attachment 2726348
View attachment 2726350
Boss unatafuta njia ya kutokea wala sikupi hiyo nafasi, tuko hapa hapa Dodoma CBD haina ghorofa mingi kuliko Lolwe estate Kisumu..., hilo ni jibu tosha.., mengine nenda ukahadithie wenzako vijiweni.., hapa kazi imeisha.., π π π π π
Dodoma CBD
View attachment 2726355
Lolwe Estate
View attachment 2726328
View attachment 2726341
View attachment 2726342
View attachment 2726344
View attachment 2726345
View attachment 2726347
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ unapost uchafu gani weweBoss unatafuta njia ya kutokea wala sikupi hiyo nafasi, tuko hapa hapa Dodoma CBD haina ghorofa mingi kuliko Lolwe estate Kisumu..., hilo ni jibu tosha.., mengine nenda ukahadithie wenzako vijiweni.., hapa kazi imeisha.., π π π π π
Dodoma CBD
View attachment 2726355
Lolwe Estate
View attachment 2726328
View attachment 2726341
View attachment 2726342
View attachment 2726344
View attachment 2726345
View attachment 2726347
Sasa ni dodoma vs kenya officiallyπ€£π€£π€£I've seen some Wilstone Homes projects with more units π π Jikakamueni huko Bongo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=Vz7dG1Z6zq8
View: https://www.youtube.com/watch?v=a34q6sGyN3Y
Now is officially dodoma vs kenya wowπ€£π€£Affordable housing in Kenya. All these are under construction in Nairobi.
After the introduction of the housing fund this year, the government will now have close to $1 billion annually to construct more.
Target is 200,000 units per year, hundreds of tenders have been issued out, amounting to over 50,000 units this year.
Ata wewe unaweza leta hizo sh zenu za madafu kama investor. Download tender documents here - bomayangu.go.ke - Affordable Housing Program.
If you thought Kenya's construction industry is on steroids right now, wait till you see the next 5 years. Only Egypt will come close π π π
Hizo picha za Kibera unapenda kuanika hapa, ziko masaa ya lala salama.
View attachment 2726357View attachment 2726358View attachment 2726359View attachment 2726360View attachment 2726361View attachment 2726362View attachment 2726363View attachment 2726364View attachment 2726365
CCM semantics.uhehehehehehehehheheh na sijawa kusikia wakitaja kua tanzania kuna slum siajwah na hata google sasa hvi top 1000 slums on earth huwez kupata ila top ten ya dunia nyinyi muna slum tano ndani au unabishaππππ
Sasa ni dodoma vs kenya officiallyπ€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ issue sio kua nazo tu je zinamilikiwa na nani?? Manake kila mtu anajua middle class wa kenya ni yule mwenye uwezo wa ku rent bedsitter au 2bed roomMiji ya Kenya estates tunazo tokea zamani, ndio jua linachomoza Tanzania, mtafika wala msife moyoπππππππππππππ
Ennh hasira zimehamia kwa CCM sasa π€£π€£CCM semantics.
By Kenyan definition, almost all of Dar would be considered a slum.
Ohh sasa ni dodoma vs nairobi πππ€£π€£π€£All pictures and videos I have posted are in Nairobi.
Ata sijui Dodoma ilikujia wapi kwenye uzi wa Dar vs Nairobi.
Ohh sasa ni dodoma vs nairobi πππ€£π€£π€£
dodoma kwa projects tu utachoka wewe
View attachment 2726343
View attachment 2726348
View attachment 2726350
Ni DODOMA Gani unayoizungimzia .? π€£π€£π€£ DODOMA hii π
View attachment 2726306
Hii ni estate moja Kati ya makimi ya etates zilizopo DODOMA. In case you don't know
How about Kisumu.? π€£π€£π€£π€£.Bongo ni kama kuna allergy ya lami ukitoka main roads π π π
unatumia a blurred image (picha isiyo clear) kujiliwaza, ila Lolwe inabakia Lolwe na Dodoma CBD inabakia kukua Dodoma CBD ilivyo., ama kuna nyingine yenye imezidi Lolwe kwa idadi ya ghorofa?, tafadhali ukipost humu unitag.., sina haraka.., π π π π π π π π ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ unapost uchafu gani wewe
View attachment 2726368
Wageni kutoka mataifa mbali mbali walishatoa huo ushuhuda tayari.., youtube! taifa la vumbi kwa wingi ukitoka main roadππππππππππBongo ni kama kuna allergy ya lami ukitoka main roads π π π
How about Kisumu.? π€£π€£π€£π€£.
Yanajikokota.., wanangoja SGR tokea wakati wa Magufuli, 2023 inaelekea kuisha!ππππ.., miradi mengine yanakwenda kwa mwendo wa konokono, tatizo serikali kukosa hela π π π π π π π πHatuna haja na Dodoma. Huyo ni samaki mdogo.
Dodoma vs Nairobi is like bringing stones to a tank fight.
Bring developments in Dar.
Na kama maendeleo Dar yameisha, sema tufunge uzi π π