Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbn kweupe kabisa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwahiyo huu upuuzi ndiyo wa kufananisha na Dom? Nyie wakenya mna masihara sana, hivi unajua ni kiasi gani kimewekezwa pale Dom mpaka inaoneka ilivyo hivi sasa?
Nimekuambia ni chizi tu atalinganisha tatu city yenye 50km of roads, 75+ businesses, 3000 houses and apartments na dodoma yenye majengo 10 ya serikali
 
Nimekuambia ni chizi tu atalinganisha tatu city yenye 50km of roads, 75+ businesses, 3000 houses and apartments na dodoma yenye majengo 10 ya serikali
Where is 50km tarmac, where are 3000 houses, ziko wapi 75 companies there ??
Are they invisible?? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
We know how to read.
Also, Bolt has just announced their ridership across several countries in Africa, not cities.

Tanzania LDC is of course bottom of the barrel.
View attachment 2725252

View attachment 2725253View attachment 2725254
Taifa fukara hii, watu wengi lakini hovyo!..., Bolt ni Dar pekee but not even popular.., a town like Eldoret, cubs are the in thing, bolt can't compete with Wasili Cabs.., kiukweli, hii mambo ya cubs, Tz bado ni ushago, wageni wenye wamezoea such services wanapata tabu while in Tanzania..,
 
Ndio hiyo Dodoma Mji wa Serikali vs Tatu city on exactly the same scale. Mwenye macho asingoje kuambiwa atazame. 🀣

View attachment 2725281View attachment 2725282
Moja yenye faida(Tatu) na yenye haina faida yeyote kiuchumi(Dom).., majengo ambaya hayatumiki kwa sasa , na hayana economic value kubwa.., nini huwa inatatiza Tanzanians kiakili? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…