Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tunahofu na nyinyi ndio mlianza hii thread ya ujinga....smh
Uheheheh yale matusi muliokua munatukana watanzania 6yrs back yako wapi?? Yameenda wapi kama hamuna hofu?

Siku hzi mumekosa raha baada yakujua ukweli ambao wanasiasa wenu waliwadanganya kua muko level za europe kumbe zimbabwe kwa sasa ina nafuu kuliko nyinyi mafala πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Siku hizi wanaiogopa Dodoma sio mchezo, ukiweka picha za Dom wanakaa kimya, wivu unawashika wakiona a new African world class city inavyozidi ku take its shape.
Alaf waambie dodoma gvt city hakuna misitimu ya umeme πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wala hakuna misitimu ya internet kila kitu kimepita underground labda hawana taarifaπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…