Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila utakuta mwamba anakupigia ugali na sukuma wiki pembeni ya huo uozo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi na Wakenya hatufanani kabisa kwenye suala la ustaarabu. Uchafu kwao ni nature ,kuwa masikini siyo lazima uwe mchafu.

Ukiona picha imetumwa kutoka Kenya na uko karibu na chakula usiitizame, maliza msosi kwanza lasivyo hutokula [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Linganisha huu uwanja na ule upuuzi wakunya wanapost humu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Hiki kitu ndio nilikuwa nakisema humu uwanja wa CCM Kirumba unahitaji modernization ya namna hii! Ile location pale inahitaji kupewa uzito huu! La sivyo tutasikia mtu kainunua! Ila wakulungwa wa kanda ile wanang'ang'ania uwanja mpya bila kujua wana dhahabu ambayo inahitaji kuwa refined! Mama nae haeleweki badala ya kuboresha kiwanja vya Mwanza pia, naona yupo kimya! Mwanza tayari wana facilities nyingine kama Uwanja wa ndege na hotel ya nyota tano, vituo vya mabasi na zipo zingine zikihitaji kukamilishwa kama JPM bridge na highway yake! Huu uwanja wa Nakivubo kwanza ni mdogo kuliko ule wa Mwanza! Pale CCM Kirumba nafasi yake inatoa si chini ya viti 40,000 na wanaweza hata kuweka na paa pia!
 
Huu ni uwanja wa CCM, serikali haiwezi kuingiza pesa.
 
Mu7 mwenyewe ashasema Tanzania his second home,anasogezea goli karibu tushindwe kufunga wenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…