Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimefika JKIA mara nyng sana ni upuuzi..kuna kipind walikuwa wanatumia ma godown kama terminal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..yan wakenya wanapenda kujisifia ujinga sana ...terminal 3 haitakamatika ..iko 66%.complete this tym ..hiv JKiA inaweZa pokea A380???
 
Haile selasie road masaki apo kati panajengwa peninsula plaza
 
leta JNIA nami nilete JKIA.....ujinga ni kufananisha JKIA na upuuzi..
 


Endeleni kupost ma godown [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hii picha ya mwaka gani? ubaya ya watz ni ushamba nyingi...njoo JKIA 2017 sasa ufananishe na JKIA ya 1990s...sasa ndio hizi tunazoita ndege...sio bombadier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…