Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
chokoraa anamwagilia nginjanginja! litamea na kukomaa kuvunwa maindi wasage unga na kula ugali!
Hii si platform! SGR Kundustan haina indoor trainwash!
You think you sound smart🐒🐒🤣Yaani platform imekuwa a nginjanginjawash alias carwash alias trainwash! Ukundustan ni majanga!
MakiniPedestrian Friendly streets.
View attachment 2699735
View attachment 2699736
View attachment 2699738
Hawakati tamaa tu,bado wanawaza kuwa ipo siku huu mradi utasimama?
still not at a platform in a train station!You think you sound smart🐒🐒🤣View attachment 2699796
[emoji38][emoji38][emoji38] mnagonga sana nyundo huyo masakuuHapo inaoshwa au? Sikia, Tanzania sio Kenya, tuna mfumo wa kisasa wa kuosha sio hivyo kijuakali juakali mnavyofanya nyinyi.View attachment 2699758
Hizi lazma zifike kwa twitter!Hapo inaoshwa au? Sikia, Tanzania sio Kenya, tuna mfumo wa kisasa wa kuosha sio hivyo kijuakali juakali mnavyofanya nyinyi.View attachment 2699758
Ukitoka hapo umechapika na maji mwili mzima[emoji1][emoji1]You think you sound smart[emoji205][emoji205][emoji1787]View attachment 2699796
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani platform imekuwa a nginjanginjawash alias carwash alias trainwash! Ukundustan ni majanga!
hii ya chini kama anamwagilia mchicha 🤣 🤣 🤣 🤣Nishaichukua hii, asante sana Coco reborn and here is the difference between Tanzania and Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2699785View attachment 2699786
Jua kali improvised train washing [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]still not at a platform in a train station!
Lakini watanzania huwa na Ushamba hatari.Wakunya Mnaona jinsi Barabara za Tanzania ni quality?
Acha upuuzi wewe,haya makokoto Yako yamepauka hivyo ndio ulinganishe na asphalt concrete? Acha ushambaLakini watanzania huwa na Ushamba hatari.
Hiyo ni quality gani!?
Look at the roads in Kenya. Make it even better, Turkana
View attachment 2699847View attachment 2699848View attachment 2699849View attachment 2699851
Unaosha train au unamwagilia mboga?😅😅
Akili za wakenya ndio huwa nazishangaa hapa, wenyewe hata kama jambo ni la kijinga ila linafanywa na mzungu basi kwao ni best practices, ukoloni uliingia kwenye DNA ya wakenya.
Lakini watanzania huwa na Ushamba hatari.
Hiyo ni quality gani!?
Look at the roads in Kenya. Make it even better, Turkana
View attachment 2699847View attachment 2699848View attachment 2699849View attachment 2699851
Lakini watanzania huwa na Ushamba hatari.
Hiyo ni quality gani!?
Look at the roads in Kenya. Make it even better, Turkana
View attachment 2699847View attachment 2699848View attachment 2699849View attachment 2699851