The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Huyo tangu alipokosolewa tu basi mpk kesho Tanzania imegeuka adui yake namba moja, hapendi kukosolewa anaona ni vita, kumbe unaweza kukosolewa na bado ukaipigania nchi yako mana ni yako tu hata ufanyeje, mbn Wakenya licha ya nchi lao kuwa bovu lkn bado wanalipigania hivyo hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwingine ananiuliza purpose yake ni nini?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Na harusi nyingi za warangi na wagogo tutafanya kwenye gadeni ile [emoji1787][emoji1787][emoji106]Itapendeza sana hii, nafikiri hata marais watakuwa wanaapishwa hapa, very professional aisee.
upuuzi wa Tanesco!Ila naona kuna sehemu pana nyaya za umeme zimepita juu zinaonyesha uchafu wakati mji umepangiliwa vizuri.
Kama miji ni mipya kwanini wasiwe wanapitisha nyaya za umeme ardhini ili kuupendezesha zaidi.
Hizi nguzo na minyaya naona ni uchafu tu.
Kabisa mkuu.upuuzi wa Tanesco!
ugali ni balaa mzee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Huyo tangu alipokosolewa tu basi mpk kesho Tanzania imegeuka adui yake namba moja, hapendi kukosolewa anaona ni vita, kumbe unaweza kukosolewa na bado ukaipigania nchi yako mana ni yako tu hata ufanyeje, mbn Wakenya licha ya nchi lao kuwa bovu lkn bado wanalipigania hivyo hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa nini kwenye shughuli zinazofanyika Tanzania, serikali ikubali (kwenye mikataba) kutumia mahakama za nje? Ujuha unaanzia hapo.
MY TAKE
Wale wazalendo wa JPM wameishia wapii? Ninaamini kuna law forms za Tanzania zina partnership na law firms za uko! Tusione aibu kuwatumia! Ofisi yetu ya mwanasehria Mkuu haina competent individuals!
Mbona hata Ile kesi tuliyoshindwa na kusababishia ndege kukamatwa Kule South Africa ilifanyika Tanzania na tulishindwa?, Sheria ni sheria Dunia nzima.Kwa nini kwenye shughuli zinazofanyika Tanzania, serikali ikubali (kwenye mikataba) kutumia mahakama za nje? Ujuha unaanzia hapo.
Kampuni za ulaya zinazofanya shuguli zake China zinahukumiwa kwenye mahakama za China, Kwa nini sisi mikataba yetu wakati wa serikali za Mkapa na Kikwete zilikubali ujinga huo? Na sasa huyu mama anaturudisha kule kule, huoni tatizo siyo wanasheria bali uongozi dhaifu wa serikali?
Jibu alitoa Rostam kwamba Mwekezaji anatafuta mahala ambapo anaamini pesa yake inaweza kuwa salama baada ya uamzi.Kwa nini kwenye shughuli zinazofanyika Tanzania, serikali ikubali (kwenye mikataba) kutumia mahakama za nje? Ujuha unaanzia hapo.
Kampuni za ulaya zinazofanya shuguli zake China zinahukumiwa kwenye mahakama za China, Kwa nini sisi mikataba yetu wakati wa serikali za Mkapa na Kikwete zilikubali ujinga huo? Na sasa huyu mama anaturudisha kule kule, huoni tatizo siyo wanasheria bali viongozi dhaifu wa serikali?
Eneo limekaa kimkakati sana hilo lipo karibu na Ile hotel ya nyota 5 ya jeshi na golf course kubwa inayojengwa pia inapitiwa na ring road kwa pembezoni na lazima kutakua na flyover sababu barabara ya kutoka morogoro itaintercept na ring road, na ni km chache sana Ihumwa dry port ipo.Itapendeza sana hii, nafikiri hata marais watakuwa wanaapishwa hapa, very professional aisee.
Hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwekeza millions of dollars halafu akakubali kutumia mahakama zetu! Uliza Rostam atakueleza vizuri!Kwa nini kwenye shughuli zinazofanyika Tanzania, serikali ikubali (kwenye mikataba) kutumia mahakama za nje? Ujuha unaanzia hapo.
Kampuni za ulaya zinazofanya shuguli zake China zinahukumiwa kwenye mahakama za China, Kwa nini sisi mikataba yetu wakati wa serikali za Mkapa na Kikwete zilikubali ujinga huo? Na sasa huyu mama anaturudisha kule kule, huoni tatizo siyo wanasheria bali viongozi dhaifu wa serikali?