The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Huenda ameuwawa kwenye maandamano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule kondoo wa canopy yuko wap?[emoji1787][emoji1787]
safii saana! lazy Kunyans! someone is telling them the facts on their faces!Huwa tukiwajibu wanalia Twitter nzima. [emoji23][emoji23][emoji23]
safii saana! lazy Kunyans! someone is telling them the facts on their faces!
Umesoma hizo "Comments" jinsi wanavyotoa povu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kawaambia ukweli mchungu sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Umesoma hizo "Comments" jinsi wanavyotoa povu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huu Umaskini uliopo kenya Mungu ndo anajua...Probox zimejaa kama takataka[emoji1787][emoji1787]
Hayajawahi kukatika.We kwako yanakatika kila siku?
nimesoma comment zao wanatukana hatariJamaa kawaambia ukweli mchungu sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mwamba kawapiga kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kawapiga kwenye mshono [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa kawaambia ukweli mchungu sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
jirani wanaendelea kuchapana tuu...!!!
unatakaje? kwani wanafanya mikutano chini ya miti? Tourism is the 2nd source of foreign currency in Tanzania's economy behind gold!Conference Tourism inazidi kuchanja mbugha , yaani mikutano haiishi ni bandika bandua.
Natakaje au nafurahia? Nakuonesha ni namna gani Nyota ya Samia ni Kaliunatakaje? kwani wanafanya mikutano chini ya miti? Tourism is the 2nd source of foreign currency in Tanzania's economy behind gold!