Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
You had no intentions of paying, seizure of your plane forced you. Check the dates in which the plane was captured and released. Between 1st Dec 2022 to 9th July 2023 your gvmt was struggling to raise $165m. LDCDo you understand the meaning of "dispute", before the rulling can't pay, but after rulling is when our financial muscle comes in [emoji123][emoji123][emoji123]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Your government is hiding everything, hata mkataba kati ya GoK na China kuhusu SGR haujulikani. Onyesha mkataba wenu wa SGR na China.Tuonyeshe mkataba Kati ya GoK na foreigner Ali hassan Joho, hii hapa ya Dp world na Tanzania[emoji1541][emoji1541]View attachment 2691969View attachment 2691970
Nashangaa Zanzibar na Pemba wanafeli wapi kujenga Kumbi kubwa wakati kule Kuna Utalii ingekuwa nzuri zaidi..Conference Tourism inarudi kwa kasi sana, maliza kujenga ile Kilimanjaro Conference Centre na pale Dodoma, waweke na moja pale Zenji then the game is ours. Wanaotaka kila siku kwenye KICC au Kigali waende, wanaotaka kuchange weather with a little bit hit na night life ya ukweli after conference waje Dar pale JICC tutawahost, wakitamani dryish na winery environment tupo Dodoma, wakitaka kula pweza na beach cruise after conference tupo, au wakitaka kupasha cha Arusha na hiking au Safari trips kwenye parks zenye majina Makubwa duniani after conference tupoβ¦β¦..kote huku kuna International Airport na watapanda ndege zetu sio za mkopo, na Five Stars Hotel za ukweli. The future is ours to take, kuna pesa ndefu sana hapa tukijipanga.
Listen carefully, our money is well preserved and very well utilized not like your money no one cares, before we spend our money, every Tanzanian must be involved, in Kenya only Rutto and Gachagua can authorize any payment.You had no intentions of paying, seizure of your plane forced you. Check the dates in which the plane was captured and released. Between 1st Dec 2022 to 9th July 2023 your gvmt was struggling to raise $165m. LDC
GoK is a shareholder at KQ, they earn a lot of money from them. Paying back meagre loan isn't something to complain. But Tanzania buying planes worth billions of dollars for Actl from internal taxes then it flops is a catastrophic mismanagement of taxesWewe, KQ Kila siku inapata "bail out" from the Government. ATCL haijawahi kupata hata Shilingi Moja toka Government, TZ sio failed state
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wavumilie maisha yamewachanganyaπ€£π€£Wewe kesho nataka nikuone umevaa sufuria kichwaniπ€£π€£
Partnership maana yake ni kuuzwa au? Au ni english gani hua inafanya ugali ukakaa juu ya meza ?? π€£π€£π€£π€£π€£Tuonyeshe mkataba Kati ya GoK na foreigner Ali hassan Joho, hii hapa ya Dp world na TanzaniaππΏππΏView attachment 2691969View attachment 2691970
Hawajui hatma ya ugali unafkiri watajua mkataba wa SGR π€£π€£π€£π€£Your government is hiding everything, hata mkataba kati ya GoK na China kuhusu SGR haujulikani. Onyesha mkataba wenu wa SGR na China.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unajua kazi ya kukaza fuvu. Yaani uko tayari kufa na tai shingoni πππGoK is a shareholder at KQ, they earn a lot of money from them. Paying back meagre loan isn't something to complain. But Tanzania buying planes worth billions of dollars for Actl from internal taxes then it flops is a catastrophic mismanagement of taxes
π€£π€£π€£π€£π€£Unajua kazi ya kukaza fuvu. Yaani uko tayari kufa na tai shingoni πππ
Partnership gani hio kampuni moja inapewa EXCLUSIVE rights ya development ya bandari na transport corridor. Meaning TPA itakua imepokonywa mamlaka, who will audit DP?? Hii ni Ujuma kwa raiaPartnership maana yake ni kuuzwa au? Au ni english gani hua inafanya ugali ukakaa juu ya meza ?? π€£π€£π€£π€£π€£
Hahahaha, one of the biggest reason why KQ makes loses over decade now, is because of payment for rent to those owner of the planes it ranted. Tanzania we have financial muscle, why should buy on loan, remember the money required to buy a plane is about $150M, this amount is too little for a strong economy like Tanzania to ask for loan, if we have paid $3B by cash for Julius Nyerere hydroelectricity dam, it is big shame to buy planes on loan[emoji123][emoji123][emoji123]GoK is a shareholder at KQ, they earn a lot of money from them. Paying back meagre loan isn't something to complain. But Tanzania buying planes worth billions of dollars for Actl from internal taxes then it flops is a catastrophic mismanagement of taxes
So tuseme bandari imeuzwa sawa au??π€£π€£Partnership gani hio kampuni moja inapewa EXCLUSIVE rights ya development ya bandari na transport corridor. Meaning TPA itakua imepokonywa mamlaka, who will audit DP?? Hii ni Ujuma kwa raia
What is wrong with that?, Almost 80% of your fertile land was sold to white settlers as the result Kenyans are dying of hunger everyday, why don't you fight for your land?, No Tanzanian will die of hunger just because bandari imeuzwa, wewe inakuuma nini?Partnership gani hio kampuni moja inapewa EXCLUSIVE rights ya development ya bandari na transport corridor. Meaning TPA itakua imepokonywa mamlaka, who will audit DP?? Hii ni Ujuma kwa raia
Kulingana na wewe DP world watendesha bandari zote tanganyika bure bilashi?? Wacha kutetea ukiritimba.So tuseme bandari imeuzwa sawa au??π€£π€£
Hvi ww mkataba unaujua vzr ??π π π
Insurance italipa.π€£π€£ππππ hapana kwa kweli