Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asante kwa kuwaelemisha.ila kwa kuwa wengi ni wajinga sidhani kama wameelewa.
 
Yani unajisifia uhuru wa kupiga domo ukiwa na njaa wakati unanyimwa uhuru wa kumiliki ardhi? Huo ni upunguani wa kiwango cha lami.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hii ni mfano tu...almost upanga yote hakuna lami.
Sioni haja ya kujenga maghorofa ilhali nje kumeparara.
Wewe Upanga unaisikia au unaijua? Barabara zisizo na lami Upanga zinahesabika, tena hizo ni kwamba lami imebomoka. Naweza kukutajia mitaa ya Upanga mmoja mmoja na kukwambia upi una lami upi hauna!
Malik-lami
Mindu-lami
Kalenga-lami
Lugalo-lami
Magore-Lami
United Nations-Lami
Alikhan-Lami
Sea View vibarabara vyote vimewekwa lami.
Isio na Lami ni mitaa midogo kama Undali,Kitonga,Nyangoro etc.
Aliekusimulia mwambie akusimulie vizuri.
 
huyo achana nae haijui bongo vzrπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hawa washamba wanashinda mitandaoni kuandika utumbo wakati ndugu zao wameng'ang'ania huku hawataki kurudi kwao huko halafu wanajidai kuna maisha mazuri! Yaani ukiwasoma hawa jamaa humu unaweza ukafikiri Nairobi ni kama New York fulani vile kumbe ni typical third world city!
 
I see you are trying a comeback after mulikaring the dusty ugly sorrounding next to your best buildings.....hahaha
Wewe unadanganya. Hizo twin towers mbele yake kuna Sokoine Drive ina lami na kutoka ngazi za hilo jengo hadi kwenye lami ni kama mita tano tu zote zimekuwa paved! Upande wa kulia kuna mtaa mwingine una lami nayo ni few meters from that building and its paved! Kushoto kuna HQ za TRA acha uongo.
Hilo jengo ni refu hio picha imepigwa kutokea upande wa STATION ambapo kabla ya HQ za TRA kuna hayo majengo ya kizamani ya UWT!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…