Tanzania na kenya ni wap watu wanazaana kama kunguni?Unaijua population density ya hizo sehemu, ulitaka tujenge barabara pasipo na watu wakati huo. Kenya sio Tanzania ambayo watu wazaana Kama kunguni. Kama tuliwapiga gap wakati huo ambapo hizo sehemu zilitelekezwa, saivi ndo mtatuweza?
Kumepauka kama jehanamu π€£π€£Isiolo-Mandera (764km) ichoboy01 picha zingine mpya hizi.View attachment 2683728
View attachment 2683729
View attachment 2683730View attachment 2683731View attachment 2683732View attachment 2683733
Hatupiki data, tumejenga interchange mpaka vijijini saivi tunaingia jangwani.Zile kilometres zenu za lami mnazitoa wap...kama barabara kubwa kama hii haina lami...
Tanzania hakuna barabara long kiasi hicho haina lami...na Tz ni kubwa karibu mara mbili ya kenya...nyie kilometres zote mnazitoa wap kama hampiki data
Pedestrian bridge inawekwa sehemu maalumu kulingana uwingi wa watu sio kama nyinyi machizi kondoo munajenga miradi ya ovyo na kuiba pesa za uma bila faida yoyoteKuwa mtanzania ni laana enyewe.
Soma chenye umeandika.
π π π π π acha tu nichekeAfter 2 yrs
After 1yr they need to sign a contract na japanese they fix all this square roads plus sewer line.
π€£π€£π€£ Namba za barabara za kupika mmeanza kuumbuka sasa π€£π€£π€£π€£ km zote karibu 1k hazina lami.. kummke. Kwa hali hii no wonder JMK alisema km of paved roads in Tz kwa mataifa jirani mnaweza weka hadi kwenye milango yenuUnaijua population density ya hizo sehemu, ulitaka tujenge barabara pasipo na watu wakati huo. Kenya sio Tanzania ambayo watu wazaana Kama kunguni. Kama tuliwapiga gap wakati huo ambapo hizo sehemu zilitelekezwa, saivi ndo mtatuweza?
Pedestrian bridge somewhere in Africa π€£π€£π€£Pedestrian bridge inawekwa sehemu maalumu kulingana uwingi wa watu sio kama nyinyi machizi kondoo munajenga miradi ya ovyo na kuiba pesa za uma bila faida yoyote
Ndio maana mumekaa kama vichaa π π
View attachment 2683763
Nairobi alone ina lami 20times ya dar. Huko kwenu access roads zenu ni vumbi tupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Namba za barabara za kupika mmeanza kuumbuka sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] km zote karibu 1k hazina lami.. kummke. Kwa hali hii no wonder JMK alisema km of paved roads in Tz kwa mataifa jirani mnaweza weka hadi kwenye milango yenu
tuondoe mipaka tuende kunyaland tukafanye nini? poo ruto
Nimecheka kwa nguvu mno π€£π€£π€£ DAR is three times larger to Nairobi. Hata estate zote with in DAR kama zitakua na barabara za vumbi basi hizo main roads zinatoshana na size ya barabara zote za lami in your Nairobi.. pitia ujionee njia kubwa tu za lami ndani ya πNairobi alone ina lami 20times ya dar. Huko kwenu access roads zenu ni vumbi tupu
Hii project toka moi ni Rais ππππIsiolo-Mandera (764km) ichoboy01 picha zingine mpya hizi.View attachment 2683728
View attachment 2683729
View attachment 2683730View attachment 2683731View attachment 2683732View attachment 2683733
Hii barabara imepita kwenye makazi ya watu? πππUnaijua population density ya hizo sehemu, ulitaka tujenge barabara pasipo na watu wakati huo. Kenya sio Tanzania ambayo watu wazaana Kama kunguni. Kama tuliwapiga gap wakati huo ambapo hizo sehemu zilitelekezwa, saivi ndo mtatuweza?
Tupatie population density ya eneo zima si vipicha ambavyo pia naweza kukuletea. North eastern province na ukubwa wote inawatu wasiozidi 2.5m (2019) census. Sasa je wakati wa moi?Hii barabara imepita kwenye makazi ya watu? πππView attachment 2683824
Ni vichekesho vya mwaka 2023 dar ni kubwa mara tatu ya nairobi dar ina barabara nyingi sana kuliko nairobi na mwisho dar ina paved road nyingi kuliko nairobi π π π πNairobi alone ina lami 20times ya dar. Huko kwenu access roads zenu ni vumbi tupu