Za uso ni za uso tu. Ukipigwa ya jicho halafu ukamuuliza wa pembeni yako nisaidie kuniangalizia jicho langu kama linaona ujue tayari umeshaumuka, jicho limeshajifunga halitaki tena kuyashuudia makonde.Kindly stick to the arguments....posting someone's personal life is not allowed.Ukishindwa debate unajitoa tu .....huendi personal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Huyo eti ndo middle class citizen kwa kenya
Kwao huko middle class ni yule anaeweza ku rent bed sitter au 2bedrooms ila tanzania middle income ni yule anamiliki majumba na magari wengine na bishara zao 😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama katokea wapi, kwani yeye ndiye hupost majisifu mitandaoni??Tukipost mama yako hapa hutafurahia...so a bit of brains should be put to use..
Kwaivo maisha ya mtu mnajua kwa social media? Watu wengine mtaanza kuchukuliwa serious wakati mtaachana na utoto3/4 ya Wakenya wa humu mko hivyo, mna maisha ya hovyo sn mmejaliwa midomo tu mirefu lkn mfukoni hamna kitu mbwa nyie.
Ndio utofauti uliopo. Ukilinganisha maisha ya Mtanzania mmoja mmoja na Mkenya ni vitu viwili tofauti, tumewaacha mbali sana [emoji3][emoji3][emoji3]Kwao huko middle class ni yule anaeweza ku rent bed sitter au 2bedrooms ila tanzania middle income ni yule anamiliki majumba na magari wengine na bishara zao [emoji28][emoji28][emoji28]
Mm sina undugu na nyie Wakenya nitaendelea kuwapasua mpk mkae sawa maanina.Kwaivo maisha ya mtu mnajua kwa social media? Watu wengine mtaanza kuchukuliwa serious wakati mtaachana na utoto
Yani kwa kawaida nikipambana na adui huwa sichagui siraha, yoyote ile iliyo mbele yangu naitumia yani iwe kisu, jiwe, manati, kiti, meza, sturi natumia mradi nikuumize kabisa.Kwaivo maisha ya mtu mnajua kwa social media? Watu wengine mtaanza kuchukuliwa serious wakati mtaachana na utoto
Kubali wewe una akili za kitoto hujamature hata kidogo. Hizo hekaya zako sijui unahadithia naniYani kwa kawaida nikipambana na adui huwa sichagui siraha, yoyote ile iliyo mbele yangu naitumia yani iwe kisu, jiwe, manati, kiti, meza, sturi natumia mradi nikuumize kabisa.
Mm mkenya akiumia kwangu ni furaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kubali wewe una akili za kitoto hujamature hata kidogo. Hizo hekaya zako sijui unahadithia nani
Ili tuwasitiri, hiyo janja ya nyani kula mahindi mabichi, 😁
Uliomba tulinganishe, mbona umekimbia, au hujaona?, Ninarudia kukuwekea tena, usikimbie[emoji1][emoji1][emoji1]Kwaivo maisha ya mtu mnajua kwa social media? Watu wengine mtaanza kuchukuliwa serious wakati mtaachana na utoto
Unaniletea figures za Tanzania against eac nzima na unaclaim mnaenda kudouble trade deficit na kenya. Trade deficit between kenya na Tanzania ni kidogo sana inaishinda ikishift kulingangana na seasons. Hamna siku mtatuuzia mara mbili ya tunachowauzia, labda kwa ndoto. Alafu pitia hio post yako, ulikua unazungumzia kugenerate umeme through geothermal ni very expensive ukilinganisha na hydroelectric nikakuambia ulete figures tuone zimewachana na ngapiUliomba tulinganishe, mbona umekimbia, au hujaona?, Ninarudia kukuwekea tena, usikimbie[emoji1][emoji1][emoji1]
Kenya and Tanzania trade now EAC’s fastest-growing
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Aache uzushi huyo mpuuzi, Bandari imeuzwa wapi na Kwa bei gani?ichoboy01 Hii ndio Africa, tofauti za mawazo hazikubaliki,l.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app