chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Hiki si ki Nicxie hiki? π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kapo busy Facebook kupost comments za chuki dhidi ya Tanzania
[mention]The best 007 [/mention] hii sura sio ngeni kwako.
View attachment 2679590
Wakenya wanatamani mradi uwe wao maana kwao miradi mikubwa ni maghorofa ya wachina
Hiki si ki Nicxie hiki? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni sawa ila Sasa haya mashamba yalitakiwa kuwa Nje mbali na maeneo ya Miji..Ni lini Tanzania utaikuta inaongelea cheap issues kama hizi? πππ
Mbona wakundustan msiwe na mawazo ya entrepreneurship kama Tanzania commercialize the challenge instead of this mud wrestling with them, hivi hapa nani mwenye akili za kicommunism na yupi ni capitalist kati yetu in dealings? πππ
Kanakuambia chilling out [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuhitaji kuunda dams za kugenerate umeme, tuko na geothermal na tunainvest huko. Dams tunazounda ni za irrigation , wacha kuwa mjinga si lazma tucopy each otherWakenya wanatamani mradi uwe wao maana kwao miradi mikubwa ni maghorofa ya wachina
Kunyan target yao kubwa hapo ni Tanzania π€£
Hawa Yanga nao wapuuzi unaandikaje jina la Rais Dr Laz? With all that branding opportunity? Na mbona hata kama first name wasiandike Dr. Lazaro! Branding machine yao ina matatizo na ubabaishaji mtupu! Ilipaswa isomeke Dr Chakwera!
maghorofa yote ya Mchina hayafiki hata 5% ya cost ya mradi huu!Wakenya wanatamani mradi uwe wao maana kwao miradi mikubwa ni maghorofa ya wachina
nani huyu? Yupo humu? anakaa jobless! Mwambie huko kwao ni irrelevant tribe!Kapo busy Facebook kupost comments za chuki dhidi ya Tanzania
[mention]The best 007 [/mention] hii sura sio ngeni kwako.
View attachment 2679590
huku akiokota vizibo kwa bar!Kanakuambia chilling out [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa Wakenya ni fukara wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2679797