Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huko Morroco na Egypt hakuna timu zinazoshiriki?, Ukweli ni kwamba wanajisikia vibaya kuja Tanzania kutokana na Chuki na wivu walionao kwa Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama hoja ni uwanja kipo pale Chamazi, Azam complex, sema wivu tuu na chuki na kuona wakija hapa tutawaona hovyo. Hata timu yao ya taifa hawataki kuja kuchezea Tz wkt wenzao wasio na viwanja wengi wanakuja Bongo.
 
Nyangau zinaona aibu kuja kutumia viwanja vya Tz ambapo gharama zingekuwa nafuu kwao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
but the truth is huko mitaa ya tz lami ni hadithi tu...99% dirt roads.The poles issue will be sorted by kplc and the contractor in due course....thats why mkiambiwa lami tz ni cbd tu na wageni mnaseme mnaonewa
 
Kubali ukweli pita hiv wacha kujitekenya mwenyewe, likija suala la lami kando ya DAR na Nairobi, basi you are behind us for at least 50 years .. changu mji wowote ukitaka hata mombasa vs musoma tunashinda hiyo battle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…