Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Unaongea ujinga gani wewe .? Bury buru huu uchafu. Heb linganisha hata na hizi estate kutoka bongo Dasilinga buruBuruburu is 50 years old and it's still better than anything in Bongolala. I like how you always fall on yourselves to disparage Nairobi against a city from another country when you realize your Dar is slum can't compete.
Sasa hata mwenyewe ukifikiria, nini hii unapost!?Unaongea ujinga gani wewe .? Bury buru huu uchafu. Heb linganisha hata na hizi estate kutoka bongo Dasilinga buruView attachment 2678830View attachment 2678831View attachment 2678832vs Avic Town πView attachment 2678833View attachment 2678834au hii estate kijichi hiyo buruburu ni uchafu tu kwa mradi mkubwa kama huu nssf kijichi housing. Watu hawapost tu Ila sio kama hatuna mjomba π€£π€£
Takataka yako ya makunduuchi inauza nchi ...niliwaambieni huyu bibi ni mpumbavu ...mkadhani mimi nikimwita mtu mpumbavu uwa na bahatisha [emoji40][emoji40] ...ila ukweli ni kwamba nikikutamkia mtu yoyote kuwa yeye ni mpumbavu basi jua tu ni mpumbavu kwelikweli
Nyinyi hamna quality wala quantity kushindana na Namibia wala Angola kama unabisha weka hapa estate zenu zote tuone.Namibia ina quality ila sii quantity. Windhoek ni mji mdogo sana ingawa una infrastructure nzuri. Windhoek size yake labda Kigali. Angola haifikii Kenya kwa real Estate. Ukitoa ile waterfront ya Luanda na empty Kilamba City kuna kipi kingine hapo?
Tangu lini Sokoine University ikazidi Muhimbili, tangu lini Sokoine University ikazidi University of Dar es salaam, tangu lini Sokoine University ikazidi Ardhi university [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeona mbweha fulani ikisema eti Tz iko na university mbili top 10 Africa na Kenya haina. [emoji23] [emoji23]
View attachment 2678709
Top 200 Universities in Africa 2026 | uniRank University Rankings
Discover the top 200 universities in Africa in 2026. Compare rankings, locations and types of leading global higher education institutions by uniRank.www.4icu.org
Sisi tuliamua kutawanya maendeleo tofauti na nyie kila kitu Nairobi, Dar estate zipo na zina thamani kubwa kuliko estate zote East and Central Africa combined, ila kwa sasa tumehamishia ujenzi wa estate kule Dodoma, tena ni za kisasa kama unavyoona za Luanda, sio vi estate vyenu nzee.sasa ni Nairobi vs Luanda. Dar imeshindwa na hata Mombasa
Hata wewe umeshangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaaaani KU Iko juu ya Dar university!!!
Hawa watu wanacheza sana [emoji28]
Wacha kujiconsole na Luanda, tuoneshe Dar is slum.Wacha kujifanya unaijua luanda we kima.. baada ya kuwaumbua eti mko vizur sector ya real estate in sub Saharan Africa nyuma ya SAπ€£π€£ kwanza who told you kwamba kilamba City ni empty.? Apart from kilamba City π. Kuna Talatonaπ . Kuna zango π
View attachment 2678828
Hii zango zipo kwa phases tofauti, nakuekea na zango 3 π.
Kwa maoni yangu, 50 year old Buruburu imechapa huo upuzi wenu na mbali sana.Unaongea ujinga gani wewe .? Bury buru huu uchafu. Heb linganisha hata na hizi estate kutoka bongo Dasilinga buruView attachment 2678830View attachment 2678831View attachment 2678832vs Avic Town πView attachment 2678833View attachment 2678834au hii estate kijichi πView attachment 2678835View attachment 2678836hiyo buruburu ni uchafu tu kwa mradi mkubwa kama huu nssf kijichi housing. Watu hawapost tu Ila sio kama hatuna mjomba π€£π€£
Kwa maoni yako lakini picha zinaongea tofauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa maoni yangu, 50 year old Buruburu imechapa huo upuzi wenu na mbali sana.
Sawa, tuoneshe ranking ya academics tuone maanake wenzako wanasema mna uni mbili top ten Africa. Tuoneshe hiyo ranking yenu bora.What are the most popular Universities in Africa? uniRank answers this question by publishing the 2023 African University Ranking of the top 200 recognized higher-education institutions in Africa meeting the following uniRank selection criteria:
uniRank aims to provide a non-academic League Table of the top Universities in Africa based on valid, unbiased and non-influenceable web metrics provided by independent web intelligence sources rather than data submitted by the Universities themselves.
- being chartered, licensed or accredited by the appropriate higher education-related organization in each country
- offering at least three-year bachelor's degrees or postgraduate master's or doctoral degrees
- delivering courses predominantly in a traditional, non-distance education format
Its a popularity contest. Nothing to do with actual academics "uniRank aims to provide a non-academic League Table ". I mean if you look at their World Rankings they have the University of Minnesota ranked higher than Oxford, Princeton, U Chicago... come on now.
tunajenga barabara kila mahali! Walisikika Mashakahola!Nakuru hiyo saivi π π π
Mashakahola yatakuambia yamesoma, kama akili za viongozi ndio hizi wananchi wana kipi kichwani?
View attachment 2678879View attachment 2678880
π π πtunajenga barabara kila mahali! Walisikika Mashakahola!
Ukiwaskia sasa na sifa zao utasema wanatoka europeπ π π π π[emoji23][emoji23][emoji23]
Yanii hawa mbwa aliewaroga alikua mganga kweli π π πNakuru hiyo saivi π π π
Mashakahola yatakuambia yamesoma, kama akili za viongozi ndio hizi wananchi wana kipi kichwani?
View attachment 2678879View attachment 2678880