The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Sijaongelea ndege nielewe mkuu, hao Ethiopia huenda wanawazidi wamisri kwenye idadi ya ndege, vipi utalii? Vipi idadi ya tours? Ndicho ninachomaanisha, siongelei ndege, ndege wabaki nazo wenyewe, sisi tutawapiga kwengine.Kwa kuanzia. Ethiopian wana ndege 140......sisi hata 10% ya hiyo namba bado hatujafika [emoji1787][emoji1787] Africa hakuna shirika hata moja linawafikia. Kwa wale tuwaache tu boss
Watu wamekula pesa over 500m ksh na wamelala mbele 😅😅😅😅 alaf wanaota AFCON
Mzizima inawanyima usingizi au?😅😅😅Imagine Upperhill 3 years to come!!!
Moto!! The cluster of towers above 30 floors each and beautiful roads!!!
This Altura Tower, which started last year, will be completed, occupied before 2016 Mzizima Tower in Dar.
View attachment 2678597View attachment 2678598View attachment 2678599
Namibia ina quality ila sii quantity. Windhoek ni mji mdogo sana ingawa una infrastructure nzuri. Windhoek size yake labda Kigali. Angola haifikii Kenya kwa real Estate. Ukitoa ile waterfront ya Luanda na empty Kilamba City kuna kipi kingine hapo?🤣🤣 We msenge unaijua sub Saharan Africa.? NAIROBI is behind Namibia and Angola as far as real estate development is concerned .. pitia hii 👇.
Buruburu is 50 years old and it's still better than anything in Bongolala. I like how you always fall on yourselves to disparage Nairobi against a city from another country when you realize your Dar is slum can't compete.There are many .. Luanda is just on another level .. View attachment 2677818View attachment 2677819halafu kuna hizi 👇View attachment 2677821then hizi 👇View attachment 2677822View attachment 2677824then hizi 👇View attachment 2677825then hiz 👇View attachment 2677828.. then hizi nafkiri ni most affordable 👇View attachment 2677829View attachment 2677830.. luanda ni balaa kabisa 👇View attachment 2677832View attachment 2677842.. ngoja uona Kwanini wabongo wanasema zile takataka kule kwenu ni mabweni ya shule.. heb chek vile zilivyo and quality yenu.. this is buruburu estate 👇View attachment 2677846View attachment 2677847View attachment 2677849halafu hizi takataka 👆kwenu eti ndio wanaishi middle class 🤣🤣🤣 ndio mana wabongo wanasema ni mabweni.. heb jifunzeni vile estate zinafaa kuwa na mandhari mazuri .. chukua huu mfano wa Luanda 👇View attachment 2677851
sasa ni Nairobi vs Luanda. Dar imeshindwa na hata MombasaBuruburu is 50 years old and it's still better than anything in Bongolala. I like how you always fall on yourselves to disparage Nairobi against a city from another country when you realize your Dar is slum can't compete.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaaaani KU Iko juu ya Dar university!!!Nimeona mbweha fulani ikisema eti Tz iko na university mbili top 10 Africa na Kenya haina. 😂 😂
View attachment 2678709
Top 200 Universities in Africa 2026 | uniRank University Rankings
Discover the top 200 universities in Africa in 2026. Compare rankings, locations and types of leading global higher education institutions by uniRank.www.4icu.org
Nimeona mbweha fulani ikisema eti Tz iko na university mbili top 10 Africa na Kenya haina. 😂 😂
View attachment 2678709
Top 200 Universities in Africa 2026 | uniRank University Rankings
Discover the top 200 universities in Africa in 2026. Compare rankings, locations and types of leading global higher education institutions by uniRank.www.4icu.org
tanzanians ni kelele tu....Yaaaani KU Iko juu ya Dar university!!!
Hawa watu wanacheza sana [emoji28]
Wacha kujifanya unaijua luanda we kima.. baada ya kuwaumbua eti mko vizur sector ya real estate in sub Saharan Africa nyuma ya SA🤣🤣 kwanza who told you kwamba kilamba City ni empty.? Apart from kilamba City 👇Namibia ina quality ila sii quantity. Windhoek ni mji mdogo sana ingawa una infrastructure nzuri. Windhoek size yake labda Kigali. Angola haifikii Kenya kwa real Estate. Ukitoa ile waterfront ya Luanda na empty Kilamba City kuna kipi kingine hapo?