Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ata USA wametawaliwa na clinton family na bush family kwa muda, but bado ni the father of democracy duniani..sasa na Tanzania ni chama kimoja kama North Korea utasema nini?
 
ata USA wametawaliwa na clinton family na bush family kwa muda, but bado ni the father of democracy duniani..sasa na Tanzania ni chama kimoja kama North Korea utasema nini?
Obama je? Trump je? Biden je? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… musipende kujifananisha na USA kwenye kila kitu punguzeni ujinga huu utawamaliza
 
Obama je? Trump je? Biden je? [emoji28][emoji28][emoji28] musipende kujifananisha na USA kwenye kila kitu punguzeni ujinga huu utawamaliza
trump babake alikua tajiri USA, Obama babake ni Mkenya, Biden amekua kwa serikali tangu 1970s kama senator.. sasa Danganyika ni CCM kama North Korea
 
trump babake alikua tajiri USA, Obama babake ni Mkenya, Biden amekua kwa serikali tangu 1970s kama senator.. sasa Danganyika ni CCM kama North Korea
Hujanijibu swali nililokuuliza wanatoka kabila moja au ukoo mmoja?? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

CCM wanaingia makabila tofaut nchi nzima sio kabila moja hilo hilo tu kama kikuyu na kalenjin
 
CCM ni chama sio kabila kenge wewe marais wa tanzania wote wametoka kwenye makabila tofaut mengine ya mbali kabisa yani kwa lugha fupi huku hatuongelei makabila tunaongelea utanzania [emoji28][emoji28][emoji28]
Lakini rais lazima atoke kwa chama kimoja tangu uhuru CCM kama North Korea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hiyo inaitwa Dictatorship kwa lugha ya English ambayo najua wadanganyika wengi hamuelewi
 
Ukitaka kua rais Danganyika ata kama una Kabila lote nyuma yako huwezi hadi ulambe matako ya CCM tangu 1960... what a failed coumtry. in developed countries kama kenya na USA its the numbers that matter.
 
isipokua Obama all other ni white Americans kutoka Europe ireland.
Sio ispokua wenzako huko USA hawazungumzii makabila ndio maana unaona yoyote anaeza kua rais wa america na wengi wanatoka kwenye makabila tofaut
 
Ukitaka kua rais Danganyika ata kama una Kabila lote nyuma yako huwezi hadi ulambe matako ya CCM tangu 1960... what a failed coumtry. in developed countries kama kenya na USA its the numbers that matter.
Nyinyi ukabila umewaharibu mpaka akili zenu ndio maana munawaza kama CCM ni kabila πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Huku hakuna kitu kinaitwa ukabila mtu yoyote anagombania urais kabila lolote wala hakuna sijui kikuyu na kalenjin pekee ndio wawe marais no way 🀣🀣🀣
 
Ukabila unakuharibu namna gani? am very prpud of my tribe heritage amd culture mimi sio mtumwa wa CCM kama wadanganyika.
Only Damganyikans are not proud of their tribes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lakini rais lazima atoke kwa chama kimoja tangu uhuru CCM kama North Korea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hiyo inaitwa Dictatorship kwa lugha ya English ambayo najua wadanganyika wengi hamuelewi
Dictatorship ni ile rais anatoka kwenye kabila hilo hilo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mbona hatuoni makabila mengine kenya wakishika madaraka zaidi ya kikuyu na kalenjin ambao ni wale wale tu

Kenya kuna makabila zaidi ya 60 lakini hatujawah sikia rais ni mjaluo au mmasai au mdigo etc πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Au maana ya dictatorship huijui wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…