Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,616
- 5,795
wana safari ndefu sanaGormahia yapata Ksh 9M, hadi Sasa baada ya michango toka kwa ndugu, jamaa na marafiki baada ya kutwaa ubingwa wa Kenya
https://www.facebook.com/
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sleek and beautiful, Kenya's dress water ship 98% done.
View attachment 2672087View attachment 2672088
Ukisikia pwa ujue limempata mtuπHili jengo la nani!? Nani mmiliki!? Hivi tangu 2014 hadi leo!? Ni nzuri ila fupi sana. Sa hii kitu cha kuposti ni 30+ floor towers ama huge houses! 20 and below vimepitwa na wakati
Ndo napitiapitia comments baada ya kupata upenyo wa kupumzika na majukumu. Kazi Iendelee mkuuHatimaye pumba zimeanza kujitenga na mchele, hakika mafuta hayachanganyiki na maji, Tundu lissu na Rostam Aziz wamethibitisha kwamba Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli, Rostam anakuambia kama yeye angekuwa fisadi basi Magufuli asingekwenda kuzindua kiwanda chake kule Morogoro. Tundu lissu naye anakuambia Magufuli hahusiki na mikataba ya hovyo kwani tunajua fika hakupenda mali za nchi hii kushikwa na wageni.
Hao ni watu ambao walikuwa miongoni mwa maadui wa Magufuli lkn kwenye ukweli leo wameongea, sasa hawa wanuka mavi wa humu jamiiforums ni kina nani mpaka wabishe, msikilizeni Lissu hapa.
Wanuka mavi wa jamiiforums, kula chuma iyoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Indicators of Poverty π .Tanzania inter-regional buses
View attachment 2672141View attachment 2672142View attachment 2672143View attachment 2672144
Shakahola inter caunty buses πππ
View attachment 2672151View attachment 2672152
kwani umeambiwa hiyo pick up mkweche ni ya Nairobi county government?
Hiyo ya kenya ni urithi toka kwa mkoloni,hawana jipyaHaka kadubwana ni joke kulinganisha na what we are building in DODOMA View attachment 2672111View attachment 2672120View attachment 2672124.. 9 floors building with three wings..
It is the deep rooted tribal nature of this regime.....They spent ksh 138 billion for the rally but when it comes to Gor ...we are told money is not there.Gormahia yapata Ksh 9M, hadi Sasa baada ya michango toka kwa ndugu, jamaa na marafiki baada ya kutwaa ubingwa wa Kenya
https://www.facebook.com/
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii kibera nayo mnapenda sana......i like how you run to google any negative thing about kenya and lump it here to make yourselves feel good.....How this will help millions of tanzanians in abject poverty is beyond meModern city, modern infrastructures, civilized people [emoji7][emoji7]
Now, I can understand why Kenyans are jealous [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2673103View attachment 2673104View attachment 2673105View attachment 2673106View attachment 2673107View attachment 2673108View attachment 2673109
Safi sana Kamanda Ndinda!Wakenya mpo?!πMzizima Cladding almost done
View attachment 2671908
View attachment 2671909
View attachment 2671910
View attachment 2671911
Wivu itakuua brother!Hili jengo la nani!? Nani mmiliki!? Hivi tangu 2014 hadi leo!? Ni nzuri ila fupi sana. Sa hii kitu cha kuposti ni 30+ floor towers ama huge houses! 20 and below vimepitwa na wakati
Nahisi ni gari la chombo cha usalama ni ajabu tetanus nje nje!Imagine Gari ya kubeba nyama hii! Si hiyo nyama inakuwa mzoga inapoingizwa kwenye huu mkweche?
watakuambia wao watu wa Rugby ila ukiuliza na watu wa Rugby wanapewa kiasi gani, unapata uozo! Kundustan bana!Nchi ya GDP hio π π π π π
Hii ni kibera? π π πKibera ndio sehemu tanzanians hujiconsole nayo because 98% of dar looks like kibera