Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unangoja nini. Leta video ama picha.
Dar nimefika mara kadhaa, mwisho December 2022.

Na ukubwa wake sio hoja. Hoja ni maendeleo yaliomo.
Eastleigh yenyewe sio kubwa lakini iko na highrise apartments mingi kuliko Dar mzima.un
Unakunya au unaongea.? Kwanini unapenda uongo mzee.?
 
Hasira za nini, niletee FIFA world rankings sio upuzi wa afrika. Ligi ambayo Ina kiwanja kimoja ndio namba sita bora,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706]
Unataka FIFA World rankings hutaki za Afrika, ok timu yenu imewahi kushiriki michuano ipi nje ya Afrika.
 
Ruaka ni 9km from Nairobi CBD na ndio most expensive neighborhood Nairobi kwa sasa na ni slums pote


Mbweni Dar ni 30km from CBD lakini hata Westy plus Karen haoni ndani

 
Hivi mkuu huwa mnapata wapi nguvu za kujilinganisha na Tz? Kwasababu ya ka expressway cha km 11? Au vighorofa sita vya mchina mnavyoviita GTC? Mnapata wapi guts za kusema Tz kuna uswazi ikiwa hakuna county utakosa slums Kenya?

Mnaongoza duniani kwa kuwa na the biggest slum in the world, mko na hali mbaya kiuchumi kiasi kwamba hamuwezi kupata milo kamili 90% of you and I bet even you are the one of them, majority of Kenyans wish to live in Tz but never ever usikie mtanzania ana wish kuishi Kenya, nchi yenu iko hovyo sn, iko insecure kwa kila kitu health, food, shelter and everything, unapata wapi ujasiri wa kuiongelea Tz vibaya ikiwa mwaka haujapita hujisikii raha bila kuja Tanzania.

Yani utaunga unga upate nauli ya basi uje Tz ila ukija hapa JF unajifanya kuiponda, achana na blind patriotism sema ukweli inapobidi msee.
 
Hao ni watanzania ambao hawajawahi kufika DAR .. kama mtu ameishi DAR na anaijua vizur, basi hakuna kitu cha ataona ajabu kipo Nairobi ambacho hakipo Dar
 
magufuli aliweza kucheza nao vizuri, wanapenda kunufaika kwa gharama ya wengine
Magufuli alikua anaenda bampa yo bampa aisee,ila magu kaacha legacy ya uzalendo maana sasa wengi wa watanzania washaujua usnitch wa kunyan,na kila mwenye mamlaka ya kuwabana anawabana kiupande wake,uwa napita tiktok yan kule kuna vita kubwa sana,kuna mbongo alienda mpaka naipori kuonesha umaskini wa kunyan,nasikia hii issue hadi serikali yao imeingilia 😃,jamaa kawachana vibaya sana 😃
 
Huku hakuna slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Please don’t even go there… Bongo is 70 % slum… every town and “city” is majority slums… I know you love google search but hate google earth…this 2023 you can lie but you can’t hide the truth….🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna county Kunyaland ambayo haina slums, hii ni kiambu 16km from Nairobi View attachment 2670524View attachment 2670525View attachment 2670526
Niliwahi kuwapa home work wataje county moja ambayo haina slum wameshindwa mpk leo, Kenya ni Nairobi tena maeneo machache lkn ukitoka meter kadhaa kutoka Nairobi ni ushuzi kushoto kulia na ndiyo maana mkenya mwenzao Tony254 alipotaka kutoa siri waliogopa mno cz wanapenda sifa ambazo hawana, hawapendi kuishi kwenye uhalisia wao, thus y wana maisha magumu mno ukilinganisha na nchi zingine EA na wasipobadilika tutaendelea kuwaacha.

Kila siku wanapokuja Tz wanakuta ni tofauti na walivyoacha cz sisi tulikubali kubadilika japo matatizo hayaishi, ila wao ni ujuaji uliopitiliza, kila mkenya ni mjuaji ndio maana unakuta vurugu haziishi nchini mwao na miradi hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…