Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm nilicheka mwanzo ni kakuliza wagner na je ww uko serious [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unajua ninakushangaa Sana, sijui unaishi Dunia gani mkuu, vyombo vyote vya Magharibi vinafuatilia na kutangaza hili tukio, wewe unasema wamenyamaza, unataka wafanye nini Ili ujue kwamba wanafuatilia?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha wao wanachokitaka ni kama wanachezewa akili zao tu 😅😅😅 ndio maana nilikwambia siasa za vita ni hatari bro acha kabisa kama wao walitoa pesa kuwapa wagner basi pesa zishaliwa tayari
 
Punguza ujinga wako. Tunaposema gharama za SGR ya Kenya ni $3.7B, hiyo ni pesa iliyotoka China Exim Bank kugharimia Ujenzi wa reli toka Mombasa hadi Nairobi, hapo hakuna gharama ya kulipia fidia.

Unaposikia kwamba gharama ya kujenga barabara ya lami ni $1M per kilometer" hiyo haijumlishi fidia ya Ardhi.

Kenyà mlijenga 1km of SGR for $8M, Tanzania 1km for $4.6M, Ethiopia $6M, hizo hazijumlishi fidia ya Ardhi. Hiyo ni pesa anayopewa "Contractor &Consultant baada ya kukabidhiwa Ardhi na serikali. Hujui kitu wewe.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha wao wanachokitaka ni kama wanachezewa akili zao tu [emoji28][emoji28][emoji28] ndio maana nilikwambia siasa za vita ni hatari bro acha kabisa kama wao walitoa pesa kuwapa wagner basi pesa zishaliwa tayari
Nina uhakika baada ya hili, wewe utakua wa kwanza kusema kwamba Wagner ni mapandikizi wa nchi za Magharibi, japo Sasa unapinga kwamba hawawezi kufanya lolote.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hili jambo sio la kulidharau, ni jambo kubwa Sana kwa uongozi wa Putin, Yale Yale ya Sudan, ndiyo yanajitokeza Urusi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama mtu unaakili utajua kabisa huu ni chambo! Kuna mtu anatakiwa ajilengeshe tu aishe! Hiyo mutiny ya Wagner inawezekanaje wakati kila kitu wanategemea urisi au tuseme serikali ya urisi, risasi watapata wapi? Chakula watapata wapi? Hawana jeshi la anga!! Wako 25,000.

Hii ni chambo na kuna watu wataingia kichwa kichwa tu!! Nadhani mrusi sasa anataka kujua maadui wake wote wa ndani kwa ndani!!
 
Even Kenyan budget is bigger than its neighbours but there is no correlation that this budget reflects economic superiority over its neighbours but rather a big chunk of it almost 70% goes to loan servicing.
 
Mm nilicheka sana nikamwambia hii ni vita ya siasa naona hakunielewa bado 😅😅😅
 
This the best opportunity for Ukraine to take advantage of the crisis and push forward to recapture lost territories…. Don’t be surprised Putin pull back some resources to Moscow to reinforce homeland…..his regime survival now takes priority …. Let the purge begin…am sure Putin will hit back hard domestically…he’s very vulnerable right now inside his political and military circle …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…