Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Idadi ya waisilamu Kenya haifiki 20% sasa iweje pwani iwe 80%🤣🤣 hio malindi iko ndani ya kilifi ambako ndo ukristo ulianzia Kenya. Hio lamu ndo kaunti yenye watu kidogo Kenya.Acha uongo ww over 80% pwani yote ya kenya ni waislamu hata ukiangalia lamu over 95% ni waislamu nimekwenda malindi over 85% ni waislamu
Kwann umasema uongo ili ukusaidie nn?? Hvi ww unafkiri kuna mtu utamdanganya humu ndani hvi mfano mm we unaeza nidanganya nn ??😅😅
Alifika akaona makanvu malindi na lamu akadhani Kenya ni Tanzania.We umezoea tu kuropokwa and huijui kenya kunishinda. Kwenye counties 6 za coast, wakristo ni 2.4m while waislamu ni 1.6m according to the 2019 census. Muslims wapo majority only in lamu, kwale na tana river
Kenya’s Coast: Religion, Race, Ethnicity and the Elusive Nature of Political Community
In January 2019, Kenya’s already crowded political landscape was joined by another new party. The Umoja Summit Political Party was, avowedly, a party for the coast “formed on the basis of bringing back the elusive unity of the region,” as its founder declared.1 Observers might have been forgiven...books.openedition.org
Waambie hao viongozi wenu walioamua kuchagua AZAM badala ya kuwapa hao wazembe wa KBC. Tutaendelea kuwatawala kila eneo.No one uses azam in Kenya na hamna atakayezinunua
Sawa masikini lakini sio choka mbaya kama wale wa kiberaMuhumbili ambayo ata rais wa Malawi akiugua homa hawezi letwa!!
Ama Iko juu kwa standards za watu maskini wa chini!!!!!
Waliotapaka nchi mzima.😂😂😂😂
Wale ni wanafunzi na sio refugeesSikujua kupokea refugees pia ni achievement manake Kenya tuna zaidi ya 2m🤣🤣🤣🤣
Serikali ya maposho😁😁😁😁😁
70% salaries and 30% maendeleo
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kwa kuwa azam itafund ligiWaambie hao viongozi wenu walioamua kuchagua AZAM badala ya kuwapa hao wazembe wa KBC. Tutaendelea kuwatawala kila eneo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Refugees🤣🤣🤣Wale ni wanafunzi na sio refugees
Hahaha, refugees mwenye kulipa $5000 kwa mwaka ili kusoma katika "the most prestigious medical school in East and Central Africa vs Refugees who depend on UNHCR in dadab camp, hata hawaruhusiwi kufika Nairobi, Sana Sana wanaingia na silaha na kuwasaidia Alshabaab kuwatandika KDF daily.Sikujua kupokea refugees pia ni achievement manake Kenya tuna zaidi ya 2m[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Stop your nonsense, sisi sio wabaguzi, msituambukize ujingaIdadi ya waisilamu Kenya haifiki 20% sasa iweje pwani iwe 80%[emoji1787][emoji1787] hio malindi iko ndani ya kilifi ambako ndo ukristo ulianzia Kenya. Hio lamu ndo kaunti yenye watu kidogo Kenya.
Hujui kitu unaongea we we, azam wamepewe TV rights za kpl kama vile bamba sports/ kbc etc lakini tatizo ni kwamba hakuna mtu mwenye decoders zao. Kitu ambacho kitatokea ni kwamba KPL itapata umaarufu Tanzania hahahaWaambie hao viongozi wenu walioamua kuchagua AZAM badala ya kuwapa hao wazembe wa KBC. Tutaendelea kuwatawala kila eneo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Eti anaexpect kenyans watanunua azam recorders [emoji28]Hujui kitu unaongea we we, azam wamepewe TV rights za kpl kama vile bamba sports/ kbc etc lakini tatizo ni kwamba hakuna mtu mwenye decoders zao. Kitu ambacho kitatokea ni kwamba KPL itapata umaarufu Tanzania hahaha
Wivuuu, hakuna mtu anayeweza kuja Kenya, nchi ambayo haina usalama Wala amani, Kila siku ni taarifa za mauaji, fujo za kisiasa na terrorism, mnavuna ujinga wenu wa kujifanya wajuaji.Tatizo lenu watanzania ni kujipendekeza kwa waarabu[emoji1484][emoji1484]
Kenya is a lawless country, you don't need passport to get there, Alshabaab they get in and out as they wish.Atleast umekubali mnatuma omba omba kenya, sina mengine ya kuongeza
Pumbavu, huko tanzania mmefundishwa kuwa wakimbizi wote hawana pesa🤣🤣 Somalia/S.Sudan zilipoanguka refugees wenye pesa wali- settle Kenya nzima, wale maskini wanawekwa kwenye camps. President wa Somalia mwenyewe familia yake iko hapa. JingaHahaha, refugees mwenye kulipa $5000 kwa mwaka ili kusoma katika "the most prestigious medical school in East and Central Africa vs Refugees who depend on UNHCR in dadab camp, hata hawaruhusiwi kufika Nairobi, Sana Sana wanaingia na silaha na kuwasaidia Alshabaab kuwatandika KDF daily.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Anadhani azam itanasa Kama ilivyowakamata. Azam unga, azam condom, azam sabuni, azam pombe, azam football🤣🤣🤣🤣Eti anaexpect kenyans watanunua azam recorders [emoji28]
[emoji1787][emoji1787]Anadhani azam itanasa Kama ilivyowakamata. Azam unga, azam condom, azam sabuni, azam pombe, azam football[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Azam controls their life from crandle to grave…😄😄Anadhani azam itanasa Kama ilivyowakamata. Azam unga, azam condom, azam sabuni, azam pombe, azam football🤣🤣🤣🤣