Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heeeee kaa utulie sindano ya LDC iingie pahala pake!!!!!


Eti you eat tropical[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanza kabla ya yote mtuambie whats hapenin nw in kenya?
 
Hao wakenya walioviweka kwenye maduka yao hawajui kuwa wakenya hamnunui hivyo vitu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
reading stupid comments from Tanzania while sipping my pulpy orange minute maid juice...............ati chibu what zinauzwa Kenya hahaha. Hizo vitu sijawahi ziona Kenya. ....ama wenye duka hao waliopigwa picha wamezipatia kuku
 
wakati tunailaani serikali ya Tz kwa kuchoma kwa moto vifaranga vya kuku vinavyodaiwa kutoka kenya,huko laikipia kenya,jeshi polisi linalaumiwa kwa kuuwa kwa risasi takribani ngo'mbe mia tatu(300) toka katika jamii ya wamasai.

inadaiwa ng'ombe hao waliingia katika lunch inayomilikiwa na mtu binafsi na hukumu pekee iliyowafaa ni kuwachapa risasi ili wafe.

picha na screenshot hapa chini zinaelezea tukio hilo kwa upana zaidi.


NB:
ifahamike kuwa mapande makubwa ya ardhi huko kenya yanamilikiwa na matajiri wachache.

hali hiyo hupelekea wafugaji wa kimasai kukosa maeneo ya kurisha mifugo yao na hatimaye hurisha katika Ranchi za watu binafsi au huvuka boda na mifugo yao na kuingia tz upande wa namanga ambako marisho ya mifugo ni mengi na hayamilikiwi na watu binafsi.
 
unajua tropical heat nini ama kutapa tapa? hii hapa nikusaidie angalau
jaribu kufananisha na zile karanga za diamond zilizoungua kwa pakiti za Royco mchuzi mix




Kwanza urban bites my niece and nephew love them so much. if I go visiting without them I risk being turned back at the door. ...hahaha. Hizo bidhaa za diamond hata sidhani kama zitaruhusiwa supermarket za Kenya na hiyo quality yao ya chini.Tanzania has never wanted Kenya to grow but we outshine them by far anyway. ....and now bidhaa zao tutashoot down vile wanavyofanyia Kenya. Lapsett iishe haraka tuchangamkie Ethiopia and South Sudan markets which are more promising
 
oH God this is sooo wrong...whats wrong with thise police?
 
ati chibu what zinauzwa Kenya hahaha. Hizo vitu sijawahi ziona Kenya. ....ama wenye duka hao waliopigwa picha wamezipatia kuku
[emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: Oii
kwanza Ethiopia ...100 million plus people...enyewe lapsett could be a game changer for this economy
 
[emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jua kutofautisha marketing na ununuzi...hawa itakuwa wamepewa hizo karanga free ili wapigwe picha...inaitwa marketing...ama kwenu watu huwa wanapigwa picha wakila njugu...kila mtu anapigwa picha akila njugu...
 
tuwaulizeni nyinyi maana tukio limetokea "kwenyu".
noo that is so bad...animals must not be killed like this...sikubaliani hata kidogo na hili...nilidhani ile ya vifaranga ilikua mbaya...now this is worse...mnyama mwue tu ndio umle...sio kwa sababu ya upuuzi
 
meanwhile..[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]

asante mungu kwa kutuepushia laana,Hili tukio halijatokea Tanzania...lingetokea katika Ardhi yetu,wakenya wange tu-bully sana.

wakenya hongereni kwa kupata Simba shoga.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Uchumi wa nchi umeshikwa na wawekezaji
 
Wamepata simba ***** na siku zote ***** hana dhamanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wamepata simba ***** na siku zote ***** hana dhamanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
nimefurahi sana hilo tukio limetokea kwao....pia nimependa vile BBC walivyo amua kulipa kipaombele kwenye pages zao.

ila nahisi hii inaweza ikatumika kama stepping stone yao ya kuvutia watalii.wazungu wengi ni mashoga na ushoga sio issue kwao,wakisikia kuwa kuna Simba shoga nchini kenya,wengi watamiminika kuja kushangaa....wakenya tumieni fursa hiyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…