Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza alone kuna miradi mingi na mikubwa kuliko mombasa, kisumu eldoret and nakuru combined na kama kuna mtu anabisha ajitokeze tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hapo ni Mwanza tu .. hii nchi yetu Ina pesa bhana.. nchi inapiga hatua nyingi kwa wakati mmoja.. jamaa lilikua linaomba battle eti ya nje ya Dar na Nairobi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nikamuuliza utawezana.? .. Mwanza alone Ina miradi mikubwa kuliko hata counties zao hata 5 combined
 
Akibisha tu ww nitag hapo hatujagusa barabara za tarura kila kona ya jiji ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ujenzi wa chuo kikuu ardhi mwanza
 
Mwanza alone kuna miradi mingi na mikubwa kuliko mombasa, kisumu eldoret and nakuru combined na kama kuna mtu anabisha ajitokeze tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hii miradi inazaidi ya miaka kumi tangia Uhuru anaingia madarakani. Vyote hivyo si vipya
 
Sio vipya kwani vimeisha au?? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nimekwambia mwanza alone kuna miradi mingi na ghali kuliko mombasa, kisumu, eldoret and nakuru combined
 
Hio miradi ya muda wa miaka kumi nyuma, je tukiweka miradi ya Mombasa ya miaka hiyo hiyo mtawezana.
 
Hebu taja mradi mmoja wenye miaka 5 achilia mbali miaka 10 nitajie moja wenye 5yrs na ukipata unitag mm ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Sgr mradi wa 2009๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wewe ndio kichwa puto, nimekwambia jibu ni hili" mnawepekea Israel na China kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ