Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanunua tu na wananunua andaa tangazo ukalilipie zisiuzwe Kenya. ...andaa kipindi ulipie kwenye national t.v. watu wasinunue izo karanga. ...unless otherwise watanunua na vijana watapata ajira vilevile...
vitu vya kijinga wakenya hawanunui ndugu....njugu zipo zile za shilingi tano ndio watu hununua...matajiri wanadharau sana hivyo vijiroyco mchuzi mix...
 
vitu vya kijinga wakenya hawanunui ndugu....njugu zipo zile za shilingi tano ndio watu hununua...matajiri wanadharau sana hivyo vijiroyco mchuzi mix...
Azijatengenezwa kwa ajili ya kila mtu bro,wapo watakaokula wewe sio mmoja wao nashangaa sana unavyotumia nguvu kubwa kuwaza wataokula ilhali hawatatumia sh 1 yako
 
sababu yangu ya kusema karanga zile hazitashamiri Kenya ni kuwa target market yake ni mbaya...ma hustler ndio the best market ila yeye ameshaweka bei juu kidogo...kuna njugu za shilingi tano ambazo ma hustler hutumia...kisha tuje kwa matajiri, matajiri wana dharau sana bidhaa zinazokuja kwa pakiti ndogo ndogo kama vile royco mchuzi mix...Diamond angekuwa mjanja angeweka hizo karanga kwa pakiti hizi...bila shaka angepata wanunuzi toka middle class...just imagine middle class guy anaenda Nakumatt kununua huto tupakiti twa karanga...itakua aibu kwake...
 
vitu vya kijinga wakenya hawanunui ndugu....njugu zipo zile za shilingi tano ndio watu hununua...matajiri wanadharau sana hivyo vijiroyco mchuzi mix...
Hao wakenya walioviweka kwenye maduka yao hawajui kuwa wakenya hamnunui hivyo vitu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Azijatengenezwa kwa ajili ya kila mtu bro,wapo watakaokula wewe sio mmoja wao nashangaa sana unavyotumia nguvu kubwa kuwaza wataokula ilhali hawatatumia sh 1 yako
ndio wapo watakaokula ila sio wengi....sababu tayari kuna bidhaa kama hio hio zinzazokuja in a better packing, better taste and respectable price...mfano mimi hapa huwa nanunua hizi
 
Hao wakenya walioviweka kwenye maduka yao hawajui kuwa wakenya hamnunui hivyo vitu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
subiri utaona...njugu zipo za shilingi tano na ndio watu hununua...hakuna atakayenunua hivyo vitu vya kijinga...wenye maduka wakimaliza stock hawataitisha stock mpya...
 
ndio wapo watakaokula ila sio wengi....sababu tayari kuna bidhaa kama hio hio zinzazokuja in a better packing, better taste and respectable price...
Nimewah kununua mara moja..mm sio mpenzi wa karanga. ..lakini haziko vibaya zitawafaa zaidi wanaopenda kulakula esp watoto wakitaa...sio ajabu akibadili package akavuta na wengine zaidi kushawishika na kununua
 
akibadili packaging atapata alot of customers...kisha apunguze bei ndio mahustler wanunue...it is not a bad product...it is just a poor marketing strategy...
 
Noma sana, bora bongo tulianzia na socialism, its goodness outweighs the bad.
 
has the cassanova run to south Africa to sing in the hotel bathroom.....Hahaha. Mtu alipata chance ku collabo na Jamaican akaimba tu ujinga. ...heri Willy Paul sasa
Ha haa, blaza inaonesha unaonea wivu sana mafanikio ya chalii wa tandale. Kumbe umeshasikiliza hadi latest ngoma yake na morgan heritage.
Kuna zingine zinakuja kafanya na Rozay na Omarion.
Utajinyonga na wivu, kuna perfumes zake huko Kenya ana nyumba huko Kenya.
Ameajiri na ameweka mjini baadhi ya ndugu zako.
You pray doom for him, you risking de wellbeing of your kinds.
 
subiri utaona...njugu zipo za shilingi tano na ndio watu hununua...hakuna atakayenunua hivyo vitu vya kijinga...wenye maduka wakimaliza stock hawataitisha stock mpya...
Sasa mbona unajipinga, mara hawatanunua, mara wenye nazo stock zikiisha hawaagizi tena!

Sasa kama hawanunui hizo stocks zitaishaje? Brother, let the ball roll! Haya mambo ya biashara hayahitaj mabishano
 
kusema hawatonunua haimaanishi kuwa hakuna hata pakiti moja ya njugu zilizoungua nchini...we vipi? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€zipo ila chache...we eat tropical heat peanuts not njugu zilizokaaangwa kwa kuni na makaa pale Tandale..πŸ˜€πŸ˜€.go search on Google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…