babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,428
- 36,042
Taifa Lina madeni mpaka wawekezaji wanahepa 🤣🤣🤣 ma'mae.Investors interested in Kenya Airways are being thrown off by its Sh187.74 billion($1.3 billion) debt
Investors interested in Kenya Airways are being thrown off by its Sh187.74 billion($1.3 billion) debt
The hefty debt burden of Kenyas national carrier, Kenya Airways has caused concern among potential investors for the projected equity interest sale, making it the largest challenge for the airline in its quest to lure in purchasersafrica.businessinsider.com
Hahaha, Kenya Kuna Economy?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukitoa economy ya Kenya hapa East Africa ni magofu tu zinabaki
Japo mimi sio engineer lakini nadhani kuna umuhimu wa kujua kuna tofauti ya bridge na viaduct, inafaa ujue watu wanaongelea Bridge sio viaductOnly if you say across the water body… otherwise Nairobi National park SGR bridge is still the longest ukanda huu… facts!
Sijui kama umesoma mapendekezo ya mkataba, tatizo lipo kwenye ukomo. Hizo cold room ni vitu vidogo sana, kama tuliweza kujenga terminal 3 tutashindwa kujenga cold room wenyewe kweli? Naambatanisha hapa article 23 ya haya mapendekezo...Good news sana hii ukiongeza na ndege ya mizigo ATCL.
Wapingaji wengi wa huu uwekezaji ni TICTS kwa sababu wamenyimwa ulaji.
Tupunguze propaganda za kijinga.
Forget about Diamond who doesn’t even know you exist…you can’t afford to breath same air with me…🤣🤣🤣 wivu itamuua nyinyi Bongolalas….i don’t have to expose everything about me to you but for one last time i live comfortably good….. as you can see .. about to drive into my driveway… my house to the left… in my mercedes benz S-550… i know hata Tesla yangu hamukwamini…. As I tell you sisi Wakenya we live real life … we got our problems yes but we are smart and well educated and can survive anywhere..Heb weka hiyo dream house yako tuone hapa.. we mbwa sio kula dinner tu na Diamond hata nafasi ya kumuona kwa karibu tu u can't afford 🤣🤣.. wacha kujitia umuhimu we famba.. Raila Odinga ilimgharimu 11 million kinya money ili kukutana na Diamond + kumlipia private jet from SA to Kenya just afenye show ya nusu saa tu .. ndio utaweza wewe kukaa kula kukaa same place na Naseeb for dinner? 🤣🤣 Peleka umalaya wako mbele
Ukomo upo pale pale in case kutatokea sintoelewana.Sijui kama umesoma mapendekezo ya mkataba, tatizo lipo kwenye ukomo. Hizo cold room ni vitu vidogo sana, kama tuliweza kujenga terminal 3 tutashindwa kujenga cold room wenyewe kweli? Naambatanisha hapa article 23 ya haya mapendekezo...
View attachment 2657732
Longest of what wakat ni white elephant 😅Only if you say across the water body… otherwise Nairobi National park SGR bridge is still the longest ukanda huu… facts!
Kwa nini mkataba usieleze ukomo wake wazi wazi? Nini kinafichwa?Ukomo upo pale pale in case kutatokea sintoelewana.
Harafu Serikali imesema Ukomo utakuwepo pindi mikataba ya utekelezwaji itakapoanza.
On top of that Kuna nafasi ya Kufanyika Kwa maboresho Kwa articles zinazoleta taharuki.
You'll be lucky to find a single true high-rise apartment in all of Tanzania.
The extremely few tall buildings they have are all offices or 2-star hotels.
Eastleigh has more high-rise residential buildings than all of Dar.
Visiting the country feels like you've time travelled to Kenya in 1990s.