Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado umekwamilia ripoti ya (WB) ambayo imekua debunked kama ya upotoshaji au kisa imeiweka dar port juu ya Mombasa!? Huwezi kusoma majira ukaona kwanini ni dar port inauzwa na sio Mombasa. Hata hio Djibouti Nina mashaka nayo lazima mchina anaifyonza.
Kwaiyo unapinga hiyo ripoti sio ya kweli sio?, Wapi WB imekanusha?,.
 
Kwasababu hiyo ya uzembe na ukiritimba uliokithiri serikalini, ndio sababu serikali inatafuta wabia Ili waende she hiyo bandari.
Kwa hiyo yani sisi tumeshindwa kukaripiana na kuwajibishana sisi Kwa sisi au mama hataki lawama za kuonekana anwaendesha watz

Sasa jitu kama lizembe si linaburutwa na kama vipi Lina wekwa kando

Au dp world wakija wanafukuzaa wafanyakazi wote hapo bandarini

Hapa inaonekana mfumo wetu wakielimu umekaa kibiashara sana na sio kutoa wajuvi yaani mtu unaweza kuwa gpa Kali alafu maajabu zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…