Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwasababu nimemgusa SSH, Wacha unafiki mkuu

Mkaushie huyo mzee baba au nenda nae hivyo hivyo. Ila tuwekane sawa suala la DPW. kilichopitiswa na bunge ni kuanza mazingumzo au? Na kama ni hivyo barua ambazo zina sahini ya mbalawa za mwezi wa 10 mwaka jana zilikua na lengo ngani? Je kusikikiza kwako bunge na kumsikiliza zitto kuna sehemu umesikia wameshauri chochote kitakachojadiliwa au wamebaliki yaliyo kwenye mkataba wa awali?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NAIKUNDU [emoji23]
 
Mkuu, ninakushauri ingia YouTube Sikiliza malumbano ya hoja kati ya Halima Mdee na Spika Tulia Akson, pia Sikiliza mchango Prof.Kitila Mkumbo na Zitto Kabwe, ninaamini utapata kujua kwa upana na marefu.

Lakini kwa ujumla ni kwamba, bunge limetoa maelekezo kwa serikali katika mambo ya kuzingatia wakati wanaenda kuingia mkataba wa uendeshaji wa hiyo bandari.
 
Masikini akipata....Simba tulishawahi kuwa na makombe matatu mwaka 1993, kipindi kicho tukiwa na kocha mchezaji Hassan Hafif, sijui hata kama umewahi kumsikia.
Kocha mchezaji!

Kuna ile club ya Uganda alikuwa akichezea yule mchezaji mkali sana Majid Musis. Nini .....Villa, sijui.
 
 
Tatizo lipo kwenye usimamizi na wala siyo uwekezaji, mbona tuliweza kuboresha bandari zetu zote bila ya wawekezaji, bandari ya Tanga ilikuwa imekufa lakini sasa meli zinakuja. Kwenye reli waliletwa wawekezaji kutoka India wakaishia kuiua, serikali hiyo hiyo iliweza kuifufua reli ya Tanga na Arusha. Utaona hapa usimamizi ndiyo tataizo.

Nchi nyingine hawa DP World wamepewa gati tuu kuendesha tena kwa waingereza wameyatengeneza wao wenyewe gati lao, sisi tumewapa bandari nzima tuliyokwisha iboresha kwa pesa zetu, huoni kuna ujuha hapo?
 
Ghorofa za udongo. Ujenzi juakali sn huu sijui mnaupendeaga nn au ndio pesa hakuna.
Kenya is not an Arabic country where they paint everything.....Who said building stones must be painted.....nyinyi ndio mnaishi the year 1800 .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…