Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😅😅😅😅
 
Wanakuambia wao wanafanya sana kazi, sasa hizo sijui wanafanya bure mana njaa haijawahi kuwatoka since uhuru.
 
Wacha kutupeleka refurbishment ingezingatia yaliyokosekana!
Huwezi kupata vyote duniani, lazima uangalie nini ni muhimu kwako, katika behewa za ghorofa muhimu zaidi ni capacity na low maintenance cost per capital". Kwenye biashara kitu muhimu Cha kuzingatia ni " Return ratio", yaani uweano wa uwekezaji vs kiwango kinachopatikana.
 
Wengi wameshakubali kwamba Tanzania ndiye baba ukanda huu
 
Inashangaza kiukweli [emoji28] na bado percent kubwa ya maisha yao wanayaendesha kwa nguvu ya remittance, ukijiuliza local mashakahola yanafanya kazi ipi zaidi ya kupigana miti mpaka kwenye public parks kama ngedere utaumia ubongo
Hujaona traffic police wao wanapigana miti hadi kichakani wakiwa na uniform huku wakikamata magari barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…