Hapa vipMimi sio mtu wa hobby za magari ila hii chuma nimeikubali sana huko Chaka Fulani noma sana Kwa kufanyia adventure..
Ni V8(Piston 8)
Suspension zake ziko comfortable sana,gas powered
Tairi Pana Zenye balance nzuri
Ina shower(hot & cold)
Tent lenye godoro watu wa 3 wanalala,
Ina solar panel hapo,ndani Ina lithium battery kubwa
Ina Camera 2 ya mbele na nyuma na zinaweza rekodi umbali Hadi wa mita 100,
Ina freezer 2,mbele na nyuma
Ina vitu vyote vya kitchen kuanzia cooker,meza,viti nk ,
Wareless charger,radio call,Taa za chini na pembeni gari ilipata break down usikuwa Wala huwazi nk View attachment 2649056View attachment 2649058View attachment 2649059View attachment 2649060View attachment 2649061View attachment 2649062
Kiufupi makoloko yake nUnaweza
sema ni nyumba inayotembea..
Bei ni pesa kidogo tuu mil.350 hivi
Sikuiona hii.Mawazo ya kijima na ya kijamaa,nioneshe sehemu yeyote ambayo imeandikwa mkataba ni miaka 100.
Pili Ina faida gani kujipiga kifua Kwa vimaneno vya kupaka rangi eti milango mikuu ya uchumi yet hakuna faida unaipata?
Kuna yule alipeleka wanajeshi na kijaz Tiss plus ziara za kushtukiza hapo bandarini,vipi Kuna Ufanisi ulitokea? Hao Tiss na Wanajeshi kwani ni malaika hawaipendi hela? Harafu ukishakuwa mtumishi wa Umma ,Mali ya Umma inakuwa ni shamba la bibi huwezi kukomaa kama Ukiwa private na Wala huwezi wakaba Watumishi wenzio wa Umma Kwa hivyo maana watakuondoa fasta..
Sasa kuliko kuwa na inefficiency na bureaucracy za kindezi ni kubinafsisha,si ajabu tumejaza mashirika ambayo hayana faida hapa Tanzania Kwa vijimaneno hivyo hivyo vya sijui usalama and such meaningless blaa blaa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikuiona hii.
Wew kijana wangu[emoji28]. Kwenye mambo serious tafadhar uwe unanyamaza.. Huelewekag, imradi tu unajiona umeongea.. tafadhar.. [emoji28]
Kuhusu ujenzi wa dams huku Tz mpk nyingine sizijui aisee, kama hiyo kidunda hata sikuwahi kuisikia.Kidunda dam way bigger than that pothole mara 2 na litazalisha mpaka megawatts 20 za umeme though it's main objective is to supply water Dar na kilimo litagharimu ksh 19 billion [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ninyi mashakahola mtaibiwa mpaka lini?
Mwana tee kumkichwa, yupo yupo tu.Sikuiona hii.
Wew kijana wangu😅. Kwenye mambo serious tafadhar uwe unanyamaza.. Huelewekag, imradi tu unajiona umeongea.. tafadhar.. 😅
Naona umemjibu comrade kipepe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakihitaji video. Hii hapa
Hizi Ngorika za kwenda kwa Wasambaa huko Lushoto.Naona umemjibu comrade kipepe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hah sijasoma comments zote leo... nimeikuta tu hio video nikatupia humu kwa kuiquote post ya juu yakeNaona umemjibu comrade kipepe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah izi behewa hazina tv ila camera lazima zitakuwepoAlaf naona kuna sehem bado vitu vingi havijafungwa kama TV, camera etc
Usijipe matumaini kabisa. Hizi hivyo mno, yaani bora zile za Korea. mbaya hizi bei ya behewa moja una nunua zile za Korea tatu, hapo zimepelekwa Germany kwa ukarabati zimekuja hivi.Yeah izi behewa hazina tv ila camera lazima zitakuwepo
Hivi hawa Mashakahola wa north hawaoni vitu tunavyofanya wajifunze tuu?Stendi ya daladala mwenge Dar es salaam [emoji116].
Kwa Kenya hiyo ndo big road project?What I like most about Kenya is that, big road projects have been delivered and others still under construction deep into the villages.
View attachment 2650381
Na ujenzi umeshaanzaKuhusu ujenzi wa dams huku Tz mpk nyingine sizijui aisee, kama hiyo kidunda hata sikuwahi kuisikia.
Leta proof ya ulichosema! Bei ya behewa moja ni tatu za Korea! Halafu hizo behewa zilikuwa Ujerumani na si zilipelekwa Ujerumani!Usijipe matumaini kabisa. Hizi hivyo mno, yaani bora zile za Korea. mbaya hizi bei ya behewa moja una nunua zile za Korea tatu, hapo zimepelekwa Germany kwa ukarabati zimekuja hivi.
huyu mama 2025 hatufai kwakweli.