Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapingana hadi na official website ya CAF!
Sio mm ninaepinga labda nikuulize CAFCC imetokana na makombe gani labda tueleweshane πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tatizo tunaleta utani wa jadi kwenye mambo ya msingi wao wenyewe CAF wanasema ni tema ya kwanza kutoka tanzania kufkia hatua ya fainal inamaana wao hawajui au
 
Yanga kapata wivu Simba kufanikiwa na kupanda rank CAF na wao tumewaona mwaka huu wamejitahidi sana ila bado kuna kazi kubwa mbele yao kufikia point alizonazo Simba CAF na hatimaye na wao waweze kucheza African Super League kwa miaka ijayo [emoji16]
 
Hongera mkuu, ni maneno mazuri ya kujipa moyo [emoji122][emoji122][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yanga kapata wivu Simba kufanikiwa na kupanda rank CAF na wao tumewaona mwaka huu wamejitahidi sana ila bado kuna kazi kubwa mbele yao kufikia point alizonazo Simba CAF na hatimaye na wao waweze kucheza African Super League kwa miaka ijayo [emoji16]
African super league ni chaguo wanafanya tu sio kwamba wanaangalia sana ubora wa team sio kweli na bahat nzuri yanga wameombewa nafas piaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…