ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,483
- 89,908
Nimesahau link but nilisoma somewhere kwamba pesa za csr zitaenda kutumika Morogoro na ni mabilioni ya Shilingi..CSR ya mradi wa dollars zaidi ya billion 3 (trillion 6)haiwezi kuwa Tsh billion 4
Inabidi muwageukie muwapigie kura ya kuto kuwa na iman nao😂😂😂 Aisee ni hatari, viongozi wetu kwa shakahola ni kama Malaika wa huruma, yaani hawa washenzi wanaiba ni hatari
na utawala sana huu waendelee baada ya miaka wawe wazamiaji bongoland.
Hizo ni dola bil.6.6 sawa na til.20 za Bongo..
Zimeshatumika tena kwenye sekta Moja tuu ya kupambana na Ukimwi sijagusia usAid,MCCL, investments,budget support,bill and Melinda gates foundation nk
Una survive hapo Kwa pesa za beberu Marekani na Sina hakika kama wewe ni ***** au laa [emoji1787][emoji1787]
Long live beberu USA
Tanzania imekua marking scheme ya soccer la Africa [emoji23][emoji23]
Tanzania imekua marking scheme ya soccer la Africa [emoji23][emoji23]
Kwenye hii battle wanapumulia mashine sasaWakenya washakata moto maskini ya Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ligi kuu bara haifanyi vizuri kwa bahati. It is supported na GDP kubwa ya ukweli.
Kaka unanitisha bhana....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23] Nyangau wanateseka sasa...Wiki ijayo wapi kaka! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetoka NMB muda huu iko 14.46
Nimecheka kama mtoto eti wamekata moto 🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁Wakenya washakata moto maskini ya Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamebaki kuchapisha picha za expressway yao kila siku🤣Kwenye hii battle wanapumulia mashine sasa