Hayo ni mawazo yako itabidi ni ya heshimu.DR wanaoigana tunapakana nao vipi mbona wasiende kusaidiwa?
Zimbabwe,Namibia,Angola,South Africa Zina mpaka upi na Tanzania Hadi usalama Wetu uwe mashalani?
Oya, sijui mnajadili nn, lkn kwenye mambo ya sayansi tulia mkuu 😅😎 naona unachapia sanaSayansi mpaka leo imeshindwa kutoa jibu la tiba za magonjwa mengi tu mfano HIV, sayansi mpaka leo imefeli kutambua rangi ya upepo na wala shepu ya upepo, sayansi imeshindwa kutambua kwann kuna usiku, kwann kuna mchana na kivipi dunia inajiendesha kwa system kwamba miaka nenda rudi inajiendesha hvyo hvyo.
Sayansi imeshindwa kutambua chimbuko la mwanadamu ni nini, wanabaki kuongopa eti ni nyani, haya uyo nyani naye chimbuko lake ni wapi? Majibu hakuna.
Tuende mbele turudi nyuma japo sayansi tunaikubali mana nayo imetupa maendeleo fulani japo siyo makubwa kivile lkn kuna kitu fulani kipo nyuma ya pazia ambaye ndiye Mungu, uhai usitupe kiburi cha kuanza kuhoji uwepo wa muumba wetu.
Ok, mm sio mtu wa udini udini na huwa sipendi sana mijadala ya kidini lkn nina imani kubwa sana na muumba mana nikijiangalia tu naona nguvu yake, hata kama sio Mungu lkn huyo mwenye uwezo wa kuifanya dunia hivi ilivyo ndiyo kwangu namuita Mungu na hakuna cha kunirudisha nyuma, nitapinga ushoga, nitapinga ushenzi wowote ule kwa imani yangu.
Wapi huko umesoma upepo (usambaaji wa hewa) una rangi na shepu?sayansi mpaka leo imefeli kutambua rangi ya upepo na wala shepu ya upepo
Jua liko sehem moja na dunia ndo inazunguka kwenye mhimili wake kuzunguka jua.. so kama jua liko kulia, bas upande wa pili wa dunia yani kushoto kutakuwa na giza ambao ndo usiku, and vice versasayansi imeshindwa kutambua kwann kuna usiku, kwann kuna mchana na kivipi dunia inajiendesha kwa system kwamba miaka nenda rudi inajiendesha hvyo hvyo.
Kwangu Mimi ujamaa ni ujingaHayo ni mawazo yako itabidi ni ya heshimu.
Mwl. Nyerere atabaki kuwa shujaa wangu kwa ukombozi wa bara la Afrika.(hasa nchi za Kusini mwa jangwa la Sahara).
Tatizo la watu wenye kuamini dini lipo hapo, kutaka kulazimisha na kuaminisha Dunia kwamba "Mungu" ndio mwisho wa Kila kitu, hiyo ni Imani tu, kwa ambaye hana hiyo Imani asilazimishwe kuamini Hilo, Kila mtu awe huru kuamini nakufuata akili yake.Sayansi mpaka leo imeshindwa kutoa jibu la tiba za magonjwa mengi tu mfano HIV, sayansi mpaka leo imefeli kutambua rangi ya upepo na wala shepu ya upepo, sayansi imeshindwa kutambua kwann kuna usiku, kwann kuna mchana na kivipi dunia inajiendesha kwa system kwamba miaka nenda rudi inajiendesha hvyo hvyo.
Sayansi imeshindwa kutambua chimbuko la mwanadamu ni nini, wanabaki kuongopa eti ni nyani, haya uyo nyani naye chimbuko lake ni wapi? Majibu hakuna.
Tuende mbele turudi nyuma japo sayansi tunaikubali mana nayo imetupa maendeleo fulani japo siyo makubwa kivile lkn kuna kitu fulani kipo nyuma ya pazia ambaye ndiye Mungu, uhai usitupe kiburi cha kuanza kuhoji uwepo wa muumba wetu.
Ok, mm sio mtu wa udini udini na huwa sipendi sana mijadala ya kidini lkn nina imani kubwa sana na muumba mana nikijiangalia tu naona nguvu yake, hata kama sio Mungu lkn huyo mwenye uwezo wa kuifanya dunia hivi ilivyo ndiyo kwangu namuita Mungu na hakuna cha kunirudisha nyuma, nitapinga ushoga, nitapinga ushenzi wowote ule kwa imani yangu.
Mbona sasa mkuu umequote pale palipozungumzia dini?Mkuu, dini ni nini?, ilikuja toka wapi?, Ililetwa na nani?, kwasababu gani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Dini ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia kwa wanadamu au viongozi wa kiroho ambao ni makuhani, mitume, na manabii.Mkuu, dini ni nini?, ilikuja toka wapi?, Ililetwa na nani?, kwasababu gani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu baki na msimamo wako.Oya, sijui mnajadili nn, lkn kwenye mambo ya sayansi tulia mkuu [emoji28][emoji41] naona unachapia sana
- ?
Wapi huko umesoma upepo (usambaaji wa hewa) kuna rangi na shepu?
- ?
Jua liko sehem moja na dunia ndo inazunguka kwenye mhimili wake kuzunguka jua.. so kama jua liko kulia, bas upande wa pili wa dunia yani kushoto kutakuwa na giza ambao ndo usiku, and vice versa
Yaani mkuu kuna ukengeufu mkubwa kwa watu kuhusu dini na Mungu.Wanajifanya wana sayansi hawana dini ?[emoji16] sayansi ilijuiliza kuhusu wapi chuma inatoka zaidi ya karne 5 majibu hawana wakaja kupata kwenye kitabu cha dini na mwanasayansi huyo alikiri kabisa waziwazi
Tuelimishane.. nieleze vizur niondoe ujingaMkuu baki na msimamo wako.
Mkuu. Chanzo chote cha maarifa ni Mungu.Sayansi mpaka leo imeshindwa kutoa jibu la tiba za magonjwa mengi tu mfano HIV, sayansi mpaka leo imefeli kutambua rangi ya upepo na wala shepu ya upepo, sayansi imeshindwa kutambua kwann kuna usiku, kwann kuna mchana na kivipi dunia inajiendesha kwa system kwamba miaka nenda rudi inajiendesha hvyo hvyo.
Sayansi imeshindwa kutambua chimbuko la mwanadamu ni nini, wanabaki kuongopa eti ni nyani, haya uyo nyani naye chimbuko lake ni wapi? Majibu hakuna.
Tuende mbele turudi nyuma japo sayansi tunaikubali mana nayo imetupa maendeleo fulani japo siyo makubwa kivile lkn kuna kitu fulani kipo nyuma ya pazia ambaye ndiye Mungu, uhai usitupe kiburi cha kuanza kuhoji uwepo wa muumba wetu.
Ok, mm sio mtu wa udini udini na huwa sipendi sana mijadala ya kidini lkn nina imani kubwa sana na muumba mana nikijiangalia tu naona nguvu yake, hata kama sio Mungu lkn huyo mwenye uwezo wa kuifanya dunia hivi ilivyo ndiyo kwangu namuita Mungu na hakuna cha kunirudisha nyuma, nitapinga ushoga, nitapinga ushenzi wowote ule kwa imani yangu.
Mkuu.Kila kitu kimeandikwa hapa tunaishi kwa matokeo ya kile kilichotabiriwa miaka elfu nyingi zilizopita.Hata dini mkuu, zimeshindwa na kukosea katika maeneo mengi kushinda hata sayansi. Uzuri wa Sayansi ni kwamba ni kitu kinachokua na kubadilika Kila siku. Quran na Bible ndio zimefika mwisho, there is no new updates ",,[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yah according to holy books upepo ni kiumbe hai, so lazima kitakuwa na rangi na shape pia.Tuelimishane.. nieleze vizur niondoe ujinga
Kwa unavyojua wew
- Upepo una rangi na shape? Kivipi.. umeitoa wapi
- Usiku na mchana ni matokeo ya nn?
Yan nataka majibu unavyojua wew.
Dini hajaanzishwa na Mungu. Dini ni mtazamo wa mwanadamu namna ya kuishi ili kuwa mtakatifu kama Mungu au njia za kufata ili kufanana na Mungu alivyoDini ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia kwa wanadamu au viongozi wa kiroho ambao ni makuhani, mitume, na manabii.
Upepo ni kiumbe hai? Woow interesting..Yah according to holy books upepo ni kiumbe hai, so lazima kitakuwa na rangi na shape pia.
Siyo kwa maeneo yote. Yapo yaliyokuwa mazuri na mengine yalikuwa siyo. Ila kwa upande wa kuzikomboa nchi nyingine zilizokuwa zinakandamizwa na wakoloni hapo nakuwa upande wa Ujamaa.Kwangu Mimi ujamaa ni ujinga
[emoji3][emoji3][emoji3]Nilitabiri mm kitambo kwamba itafika kipindi hawa Wakenya watazidiwa humu wataleft alafu tutabaki pekeetu tukipeana vitasa, sasa kazi imeanza rasmi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanadamu yupi Mkuu?Dini hajaanzisha na Mungu. Dini ni mtazamo wa mwanadamu namna ya kuishi ili kuwa mtakatifu kama Mungu au njia za kufata ili kufanana na Mungu alivyo
Yes, ni kiumbe hai ndiyo na ndiyo maana Yesu aliamuru upepo tulia ukatii. Kuna viumbe hai vingi tu sayansi bado imeshindwa kuvijua, mfano ardhi, maji, upepo n.kUpepo ni kiumbe hai? Woow interesting..
Hata yule wa kenya alianzisha dini yake.. akasema mkishinda njaa na mkikufa mtaenda mbinguni.. hio ni dini tayari.. ndo mana kuna uislam, ukiristo, ubudha, etc..Mwanadamu yupi Mkuu?