The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Adui mkubwa wa Yanga ni mvua, hata siku ile na Simba mvua iliponyesha tu nikajua hatutoboi.Naweka 50/50.. leo mmefeliwa na mvua na hali ya uwanja kutelezateleza.. adui alijiandaa na hali yoyote. Nyie hamkujiandaa na ishu ya mvua au uwanja kuteleza. Ila mpira mlipiga fresh 100%
Wale watapasuka tu historia ya yanga inaeleweka kule kule wanapasuka team yao ya kawaida sana wala haitishiLile goli la pili la kizembe sana, tulikuwa tunaenda kuwapasua kule kule mbwa wale.
Sasa tuna historia ya kucheza mpira mkubwa sana ugenini subiri utajioneaNaweka 50/50.. leo mmefeliwa na mvua na hali ya uwanja kutelezateleza.. adui alijiandaa na hali yoyote. Nyie hamkujiandaa na ishu ya mvua au uwanja kuteleza. Ila mpira mlipiga fresh 100%
Pavements za mbele ya jengo moja zinapostiwa kila kukicha π€£π€£π€£ Dah, ati ni downtown π€£π€£π€£
Kwani hii ameteur Final Iko na home and away matches?ππππMbona hamtupi matokeo!??
View attachment 2638327
Kwani hii ameteur Final Iko na home and away matches?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afrika tuko 1930 bado.
Kenya competes at world stageTimu zenu za kenya ziko mwaka 1600
HUYU NAYO SIWEZI MTETEA,,,VERY CLUELESS ....In a year he shall have sunk The great Kenya bigtimeHuyu apumzike sasa, hii serikali yake inafanya kazi 90% is to build trust, ukiona Rais kila saa anasema mniamini jua huyo tapeli