Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yanga tunaenda kumaliza mechi algeria bro shika maneno yangu, wale waarabu team ni yakawaida sana na inafungika bila shida 👍
Naweka 50/50.. leo mmefeliwa na mvua na hali ya uwanja kutelezateleza.. adui alijiandaa na hali yoyote. Nyie hamkujiandaa na ishu ya mvua au uwanja kuteleza. Ila mpira mlipiga fresh 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…