ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,513
- 89,952
Hizi mambo zishapitwa na wakati msee.
Sure.Huku tusikurupuke kabisa, yasije yakatukuta kama ya A220. Tusubiri hata miaka 5 ya operations halafu ndo tuanze kufikiria huku
Tatizo mnaiogopa Nbo sanaHata Arusha ni pazuri kuliko KanairoView attachment 2637838View attachment 2637841View attachment 2637842
Vumbi la Dodoma unadhani hatuliju, ama nikukumbushe?Vumbi Nation.
Karibu tena ***** rebornVumbi la Dodoma unadhani hatuliju, ama nikukumbushe?
Nimerudi kuwakata midomo kisha mkishika adabu niondoke.Karibu tena ***** reborn
Aisee hii picha umeitoa wapi mbn kali sn.Hizi nguvu wanatoa wapi kulinganisha duka la kanzu na state house nairobi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2637894
Hakuna ufanano kwa ss kati ya Tz na Kenya.Nimerudi kuwakata midomo kisha mkishika adabu niondoke.