Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Coalition of the Willing (CoW) was established as the result of ineffective administration of Kikwete, and was utterly destroyed during Magufuli’s reign. The reestablishment of CoW is a clear indication of how unpromising and incompetent Samia government is and looked upon by regional peers.

Ndio maana sisi tunampinga Samia kwakua tunajua yeye na Kikwete uwezo mdogo, hata Museven kaiita Serikali ya Kikwete “childish” mbele za watu.
 
Nilitaka kusema hivi ila nikasita huyu Nimrod alikua tajiri sana sana. Aisee[emoji706]
Soma humu
 
Mkuu nahitaji maoni yako katika hili.
Unafikiri suala la:
1. Sarafu moja.
2. Uongozi mmoja wa kisiasa EAC(federation)

Nikimaanisha sote Afrika Mashariki tukubali kuachia sovereignty zetu na kuwa nchi mmoja kuongozwa na raisi mmoja.
Linawezekana kwa jinsi tunavyokwenda ndani ya miaka hii 15 ijayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…