Hi terminal ina akisi mazingira ya Tanzania sio kama zenu zina akisi mazingira ya China. This is what makes them so special and peculiar ukanda huu wote.What's so special na hii terminal yenu inawapea orgasm hivo. Kenya ina terminals kuliko hizi zenu
Sio mmenyamaza bali mmenyamazishwa na speed ya Tz, ilikuwa lazima mnyamaze mtake msitake.Nyinyi ni watu wa mdomo tu na sisi tumenyamaza ndo maana unaona hivo
Nmemwambia hvyo hvyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio mmenyamaza bali mmenyamazishwa[emoji1787]
Uwanja umeinama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzi umejaa utoto ulitarajia nini. Nenda kwenye forums mature utawapata huko
Nioneshe hata moja inaakisi mazingira ya chinaHi terminal ina akisi mazingira ya Tanzania sio kama zenu zina akisi mazingira ya China. This is what makes them so special and peculiar ukanda huu wote.
Speed ipi hio hebu nielezeSio mmenyamaza bali mmenyamazishwa na speed ya Tz, ilikuwa lazima mnyamaze mtake msitake.
Naona hapa tukikosa umakini tutavutwa shati..Hii maneno
COW is back!
Kila kitu😂Tumenyamazishwa na nini haswa?
Ase unaumia bob povu jingi sema uko kwenu canopy aipo 😁 😁What's so special na hii terminal yenu inawapea orgasm hivo. Kenya ina terminals kuliko hizi zenu
Utoto basi we mkubwa pambana na watoto sasa we ndio auna akili kabisa apa tunakuja na fact akuna mtu awa analopoka na kua muongo kama sio wakenyarrrrrr,,,, jamaaa jinga sana weweUzi umejaa utoto ulitarajia nini. Nenda kwenye forums mature utawapata huko
stima ndio nini tupo kwenye process ya gas uku umeme tulisha zoea sanaNionyeshe basi la stima hapo Dar.
Nioneshe hata moja inaakisi mazingira ya china
Speed ya CANOPY 😁Speed ipi hio hebu nieleze
Sama boy 255
Kama DART wataacha wafanye maamuzi Kwa mlengo wa kibiashara Ili wapate faida ni obvious baada ya Dar,Dart inatakiwa kuanza kujengwa Mbeya,waanzie pale Songwe Airport.
Ila kutokana na siasa uchwara na upuuzi wataanza Dom ambako hawawezi pata faida maana Dom Ina njia nyingi za kufika Mjini tofauti na Mbeya..
Ndio maana haipati faida Kwa sababu mnawashinikiza wafanye mnavyotaka nyie yaani maamuzi ya Kisiasa na sio feasibility study inavyosemaWanaanza na Dom kisha mwanza